-
Cameron awataka vijana wa Uingereza wasaidie nchi hiyo ibaki katika Umoja wa Ulaya
Apr 08, 2016 09:29Waziri Mkuu wa Uingereza amewaomba vijana wa nchi hiyo waunge mkono nchi hiyo kusalia katika uanachama wa Umoja wa Ulaya katika kura ya maoni iliyopangwa kufanyika tarehe 23 mwezi Juni.
-
Magaidi wa Taliban waendelea kupata himaya ya nchi za Magharibi
Mar 17, 2016 04:51Balozi wa Uingereza nchini Afghanistan, Dominic Jermey amesema kuwa nchi yake inao uhusiano wa karibu na kundi la kigaidi la Taliban na kwamba ikiwa serikali ya Kabul itahitajia, basi nchi yake inaweza kuutumia uhusiano huo kwa ajili ya kurejesha usalama na amani nchini humo.
-
Idadi ya wabunge mashoga Uingereza yavunja rekodi ya dunia
Feb 22, 2016 13:10Idadi ya wabunge wanaoingiliana kinyume na maumbile nchini Uingereza imeongezeka baada ya wabunge wengine wawili kutangaza hadharani kwamba wanajihusisha na vitendo hivyo vichafu.
-
Mchungaji UK: Uislamu uko karibu na Issa AS zaidi kuliko Ukristo
Feb 22, 2016 00:06Mchungaji mmoja nchini Uingereza amesema kuwa, mafundisho ya Kiislamu yako karibu na yale aliyoyafunza Yesu yaani Nabii Issa AS, kuliko mafundisho mengi yanayotolewa katika Makanisa ya Magharibi.
-
Mawaziri wa Uingereza wataka nchi ibakie ndani ya EU
Feb 20, 2016 10:07Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron amesema kuwa baraza lake la mawaziri limeafiki kubakia nchi yao kwenye Umoja wa Ulaya (EU) lakini kuwe na mabadiliko kwenye sheria za muungano huo.
-
Imam wa zamani wa jamaa wa msikiti wa Manchester auawa kwa kupigwa
Feb 20, 2016 04:43Polisi ya mji wa Manchester nchini Uingereza, imetangaza habari ya kuuawa Sheikh Jalaalud-Din Sa'ab, msomi wa Qur'an na imamu wa zamani wa jamaa katika msikiti wa Jalaaliyyah mjini hapo. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Sa'ab mwenye uraia wa Bangladesh aliuawa Alkhamis usiku karibu na msikiti huo.