-
Vikosi vya Yemen vyashambulia 'kwa mafanikio' meli za US na UK
Feb 06, 2024 09:13Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Yemen amesema vikosi vya baharini vya nchi hiyo vimeshambulia kwa makombora meli za Marekani na Uingereza katika pwani ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Iran yazionya Marekani na Uingereza: Msijaribu kuzipima ghadhabu za mataifa ya eneo
Feb 05, 2024 03:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amelaani vitendo vya uchokozi vya hivi karibuni dhidi ya nchi za Asia Magharibi na kuzionya Marekani na Uingereza kwamba zisijaribu kuzipima ghadhabu za mataifa ya eneo hili.
-
Ansarullah yaitaka UN iwaondoe Yemen wafanyakazi wake raia wa US, UK
Jan 25, 2024 07:42Harakati ya Ansarullah imeziagiza Marekani na Uingereza ziwaondoea nchini Yemen raia wake wanaoufanyia kazi Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Sana'a.
-
Wananchi Uingereza waendeleza maandamano ya kuiunga mkono Gaza
Jan 20, 2024 23:09Maelfu ya watu nchini Uingereza kwa siku ya 15 mtawalia wamemiminika katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kulaani na kupinga jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza.
-
Waziri Mkuu wa UK: Nitapuuza sheria ya kimataifa kuhusu kuwapeleka wahamiaji Rwanda
Jan 20, 2024 00:32Waziri Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak ameendelea kung'ang'ania mpango wa serikali ya London wa kuhamishia waomba hifadhi nchini Rwanda, akisisitiza kuwa yuko tayari kupuuza sheria ya kimataifa ambayo imezuia kwa muda utekelezaji wa mpango huo tata.
-
Abdollahian azionya Marekani na Uingereza: Komesheni mara moja vita dhidi ya Yemen
Jan 15, 2024 23:48Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezionya Marekani na Uingereza na kuzitaka zisitishe mara moja vita dhidi ya Yemen.
-
Makubaliano ya pamoja ya Wayemen ya kukabiliana na muungano wa kijeshi wa Marekani
Jan 14, 2024 06:13Hatua ya Marekani na Uingereza ya kuishambulia kijeshi Yemen imekabiliwa na malalamiko makubwa ya wananchi na onyo kali la viongozi wa nchi hiyo.
-
Ufaransa 'yaogopa' kujiunga na US, UK katika hujuma dhidi ya Yemen
Jan 13, 2024 08:19Serikali ya Ufaransa imekataa kusaini taarifa ya kuunga mkono mashambulizi ya anga ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen, na kusisitiza kuwa haitashiriki katika hujuma hizo eti za kulinda safari za meli katika Bahari Nyekundu.
-
Ansarullah: Marekani na Uingereza zijiandae 'kulipa gharama kubwa' kwa kuishambulia Yemen
Jan 12, 2024 04:14Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen imezilaani vikali Marekani na Uingereza baada ya kufanya mashambulizi makali dhidi ya vituo vyake ndani ya Yemen, na kuonya kuwa vituo vya kijeshi vya nchi hizo vilivyoko katika eneo vitashambuliwa iwapo zitafanya uchokozi zaidi.
-
US, UK zashambulia vituo vya Ansarullah Yemen kwa sababu ya msimamo wake wa kuwahami Wapalestina
Jan 12, 2024 00:25Marekani na Uingereza zimeshambulia vituo kadhaa vya harakati ya Ansarullah kukabiliana na hatua ya harakati hiyo ya wananchi wa Yemen ya kuzishambulia meli zenye uhusiano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, kwa sababu ya vita vya mauaji ya kimbari na ya halaiki unavyoendesha utawala huo dhalimu dhidi ya Wapalestina wa Gaza.