Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uislamu

  • Twitter ya Elon Musk yawakasirisha Waislamu Marekani,

    Twitter ya Elon Musk yawakasirisha Waislamu Marekani, "CAIR" yamtaka ajifunze Uislamu

    Jan 01, 2023 00:44

    Bilionea wa Kimarekani, Elon Musk, ambaye ni mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Twitter, amewakasirisha Waislamu nchini Marekani baada ya kuchapisha picha kwenye akaunti yake ya Twitter, ikiwa na idadi ya alama za fikra na itikadi anazodai zinalenga "kupindua na kuharibu fikra na akili za watu."

  • Rais wa Iran amtumia Papa Francis Salamu za Krismasi

    Rais wa Iran amtumia Papa Francis Salamu za Krismasi

    Dec 26, 2022 08:31

    Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za pongezi kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Nabii Isa bin Maryam-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-na kuwadia mwaka mpya wa Miladia.

  • Mkutano wa kimataifa wa mazungumzo ya Uislamu na Uhindu mjini New Delhi India

    Mkutano wa kimataifa wa mazungumzo ya Uislamu na Uhindu mjini New Delhi India

    Dec 13, 2022 08:20

    Duru ya tatu ya mkutano wa kimataifa wa mazungumzo ya Uislamu na Uhindu iliyokuwa na anuani ya "Mchango wa Dini wa Kuishi Pamoja Katika Amani na Ustawi" umefanyika mjini New Delhi kwa kuhudhuriwa na makhatibu, shakhsia wenye vipawa na Maulamaa wa Iran na India.

  • Licha ya kufungwa misikiti 24 nchini Ufaransa, Marine Le Pen ataka misikiti zaidi ifungwe

    Licha ya kufungwa misikiti 24 nchini Ufaransa, Marine Le Pen ataka misikiti zaidi ifungwe

    Oct 05, 2022 03:39

    Mwanasiasa mwenye siasa kali za mrengo wa kulia wa Ufaransa, Marine Le Pen amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo, Gérald Darmanin, kufunga misikiti zaidi ya Waislamu akisema kuwa kufungwa misikiti 24 katika kipindi cha miaka miwili iliyopita haitoshi.

  • Rais wa Tunisia apasisha kufutwa Uislamu katika katiba ya nchi hiyo

    Rais wa Tunisia apasisha kufutwa Uislamu katika katiba ya nchi hiyo

    Jun 23, 2022 20:46

    Rais wa Tunisia, Kais Saied alitangaza Jumanne (tarehe 21 Juni) kwamba Uislamu hautakuwa tena dini ya serikali katika katiba mpya, ambayo itapigiwa kura ya maoni Julai 25, na kwamba jina la Uislamu halitakuwemo tena katika katiba mpya ya nchi hiyo.

  • Wanazuoni Uingereza walaani filamu inayouvunjia heshima Uislamu

    Wanazuoni Uingereza walaani filamu inayouvunjia heshima Uislamu

    Jun 11, 2022 05:49

    Wanazuoni wa Kiislamu nchini Uingereza wamelaani na kukosoa vikali filamu tata ya "Mwanamke wa Peponi" yenye kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu.

  • 70% ya Waislamu UK wamefanyiwa vitendo vya 'Islamophobia' kazini

    70% ya Waislamu UK wamefanyiwa vitendo vya 'Islamophobia' kazini

    Jun 08, 2022 06:20

    Utafiti mpya umefichua kuwa, Waislamu saba kati ya kumi nchini Uingereza wamekabiliwa na vitendo vya chuki na ubaguzi kwa misingi ya dini yao.

  • Iran yalaani wito wa kuchomwa moto Qur'ani nchini Sweden

    Iran yalaani wito wa kuchomwa moto Qur'ani nchini Sweden

    Apr 17, 2022 21:57

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Sweden amesema: "Kuchoma moto Qur'ani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ni mfano wa wazi wa sera za chuki na hujuma ya kibaguzi dhidi ya Uislamu."

  • Kiungo wa timu ya Arsenal na Ghana, Thomas Partey aingia katika dini ya Uislamu

    Kiungo wa timu ya Arsenal na Ghana, Thomas Partey aingia katika dini ya Uislamu

    Mar 19, 2022 05:38

    Kiungo wa kati wa timu ya kandanda ya Arsenal ya Uingereza kutoka Ghana, Thomas Partey amesilimu na kuwa Muislamu, kulingana na picha zilizochapishwa na akaunti ya "Muslim Athletes" kwenye mtandao wa Instagram.

  • Mgombea urais Ufaransa kupiga marufuku majina ya

    Mgombea urais Ufaransa kupiga marufuku majina ya "Muhammad", misikiti na vazi la hijabu

    Jan 26, 2022 00:44

    Mgombea mwenye siasa kali za mrengo wa kulia katika uchaguzi wa rais wa Ufaransa, Éric Zemmour, ametangaza ajenda na mipango yake kuhusu dini ya Kiislamu, ambayo amesema ataitekeleza iwapo ataingia Ikulu ya Elysee.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS