Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ujerumani

  • China, Russia, Ufaransa na Ujerumani zatoa radiamali zao kufuatia tangazo la Iran

    China, Russia, Ufaransa na Ujerumani zatoa radiamali zao kufuatia tangazo la Iran

    May 08, 2019 09:20

    Russia, China, Ufaransa na Ujerumani ambazo ni katika nchi tano zilizosalia katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA zimetoa radimali kufuatia uamuzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kusimamisha kwa muda utekelezaji wa baadhi ya ahadi zake kuhusu mapatano hayo, ikiwa ni mwaka mmoja baada ya Marekani kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano hayo muhimu ya kimataifa.

  • Ndege ya misaada ya kibinadamu ya Ujerumani yawasili nchini Iran

    Ndege ya misaada ya kibinadamu ya Ujerumani yawasili nchini Iran

    Apr 05, 2019 02:51

    Balozi wa Ujerumaini nchini Iran ametangaza habari ya kuwasili ndege ya nchi hiyo yenye misaada ya kibinadamu kwa ajili ya wahanga wa mafuriko nchini Iran.

  • Naibu Spika wa Ujerumani ataka balozi wa Marekani nchini humo afukuzwe

    Naibu Spika wa Ujerumani ataka balozi wa Marekani nchini humo afukuzwe

    Mar 19, 2019 23:02

    Naibu Spika wa Bunge la Ujerumani ametoa mwito wa kutimuliwa nchini humo balozi wa Marekani kutokana na kile alichokitaja kuwa uingiliaji wake wa masuala ya ndani ya nchi hiyo ya Ulaya.

  • Uchunguzi: Akthari ya vijana wa Ujerumani wanaunga mkono ujenzi wa misikiti nchini humo

    Uchunguzi: Akthari ya vijana wa Ujerumani wanaunga mkono ujenzi wa misikiti nchini humo

    Mar 04, 2019 23:14

    Matokeo ya uchunguzi mpya yanaonyesha kwamba akthari ya vijana wa Ujerumani wanaunga mkono kujengwa misikiti nchini humo.

  • Uchunguzi: Wakristo wengi wamedhoofika kiimani kutokana na vitendo vichafu vya makasisi

    Uchunguzi: Wakristo wengi wamedhoofika kiimani kutokana na vitendo vichafu vya makasisi

    Mar 03, 2019 23:09

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa na gazeti moja la nchini Ujerumani umefichua kuwa, kashfa za kimaadili za viongozi na makasisi wa Kanisa Katoliki vimedhoofisha mno imani za Wakristo nchini humo na kuwafanya wapuuze kwenda makanisani.

  • Waziri wa Mambo ya Uingereza: Kulindwa  JCPOA ni nukta muhimu katika uhusiano wa nchi hiyo na Ujerumani

    Waziri wa Mambo ya Uingereza: Kulindwa JCPOA ni nukta muhimu katika uhusiano wa nchi hiyo na Ujerumani

    Feb 20, 2019 23:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amesema kuwa kuyalinda makubaliano ya nyuklia ya JPOA ni moja ya nukta muhimu katika uhusiano kati ya London na Berlin baada ya Uingereza kuondoka ndani ya Umoja wa Ulaya.

  • Marekani yapinga kushirikishwa Russia katika utatuzi wa masuala mbalimbali ya kimataifa

    Marekani yapinga kushirikishwa Russia katika utatuzi wa masuala mbalimbali ya kimataifa

    Feb 18, 2019 03:00

    Katika fremu ya nara yake ya "Marekani Kwanza" inayotoa kipaumbele kwa maslahi ya Marekani na kupuuza maslahi ya nchi nyingine duniani, Rais Donald Trump wa Marekani anaamini kuwa siasa za kuchukua maamuzi za upande mmoja na za kibinafsi za Washington zitazidisha nguvu za nchi hiyo dhidi ya wapinzani wake.

  • Ripoti: Uchumi wa China kuupiku wa Marekani mwaka ujao

    Ripoti: Uchumi wa China kuupiku wa Marekani mwaka ujao

    Jan 17, 2019 04:18

    Ripoti ya Benki ya Standard Chartered imedokeza kuwa, kuna uwezekano mkubwa China kuipiku Marekani na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani mwaka ujao wa 2020.

  • Upinzani wa Berlin dhidi ya kuwekwa makombora ya nyuklia ya Marekani nchini Ujerumani

    Upinzani wa Berlin dhidi ya kuwekwa makombora ya nyuklia ya Marekani nchini Ujerumani

    Dec 28, 2018 02:57

    Rais Donald Trump wa Marekani tarehe 20 Oktoba mwaka huu alitangaza kuwa, nchi hiyo itajiondoa katika mkataba wa makombora ya nyuklia ya masafa ya kati maarufu kwa kifupi kwa jina la INF.

  • Ujerumani yapinga kuwekwa silaha za nyuklia za Marekani katika ardhi yake

    Ujerumani yapinga kuwekwa silaha za nyuklia za Marekani katika ardhi yake

    Dec 27, 2018 02:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema kuwa Berlin inapinga suala la kuwekwa silaha za masafa ya kati za nyuklia za Marekani katika ardhi yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS