-
Kilele cha ukatili wa Israel; Waliouawa shahidi Gaza wapindukia 50,200
Mar 28, 2025 04:00Jeshi katili la Israel ambalo lilianzisha mashambulizi mapya ya anga katika Ukanda wa Gaza mnamo Machi 18, limeendelea kupuuza miito ya jamii ya kimataifa ya kukomesha ukatili wake katika ukanda huo; ambapo mpaka sasa limeshaua shahidi Wapalestina karibu 900 na kujeruhi wengine karibu 2,000.
-
Jeshi katili la Israel laendelea kumwaga damu za Wapalestina Gaza
Mar 24, 2025 23:21Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi Wapalestina wengine 17 katika mashambulizi ya alfajiri ya leo katika Ukanda wa Gaza, siku moja baada ya kuua shahidi Wapalestina zaidi ya 60 akiwemo ripota wa Al Jazeera, Hossam Shabat katika ukanda huo.
-
Iran: Kufurushwa Wapalestina Gaza ni muendelezo wa mauaji ya kimbari
Mar 06, 2025 23:03Iran imesema kuwa, mpango wa kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Gaza na kuwapeleka katika nchi jirani ni kuendeleza mauaji ya kimbari kwa kutumia zana za kisiasa.
-
HAMAS yakaribisha mpango wa Waarabu wa kuijenga upya Gaza
Mar 05, 2025 22:56Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imekaribisha mpango wa kuikarabati na kuijenga upya Gaza, uliopitishwa katika mkutano wa dharura wa viongozi wa nchi za Kiarabu mjini Cairo, Misri. Mpango huo pia unakusudia kuzuia kuondolewa Wapalestinakatika eneo hilo lililo chini ya mzingiro.
-
Misri yapinga pendekezo la Israel la kutaka Gaza isimamiwe na Cairo
Feb 27, 2025 07:31Misri imepinga pendekezo lililotolewa na kiongozi wa upinzani wa Israel, Yair Lapid kwamba Cairo, badala ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas, iendeshe na kuusimamia kwa muda Ukanda wa Gaza; na kusisitiza kuwa mipango ya aina hiyo "haikubaliki."
-
Kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina; Jinai mpya dhidi ya Wapalestina
Feb 20, 2025 04:40Leo tutaangazia jinai mpya ya Wazayuni na washirika wao ya kutaka kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina katika makazi na nchi yao.....
-
Israel kuunda 'wakala wa kuwafukuza' Wapalestina Gaza
Feb 18, 2025 04:00Wizara ya Vita ya Israel imesema ipo mbioni kuunda chombo mahsusi cha utawala huo wa Kizayuni cha kushughulikia eti "kuondoka kwa khiari" raia wa Palestina kutoka Gaza.
-
Mahathir azikosoa EU, US kwa mauaji ya kimbari Gaza, asema 'Ustaarabu umefeli'
Feb 15, 2025 03:46Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia amekosoa vikali uungaji mkono wa Marekani na Umoja wa Ulaya kwa Israel akisisitiza kuwa, kuunga mkono kwa hali na mali mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza ni jambo la 'kuchukiza na kukirihisha.'
-
Kundi la Waarabu UN lapinga kufurushwa Wapalestina Gaza
Feb 15, 2025 03:44Kundi la Waarabu katika Umoja wa Mataifa, pamoja na kundi la mabalozi wa Umoja wa Mataifa, wamepinga vikali mipango yoyote ya "kuwaondoa kwa nguvu" Wapalestina huko Gaza, na kusisitiza kuwa hatua hiyo ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Jihadul Islami: Hatutaruhusu kufukuzwa Wapalestina Gaza
Feb 14, 2025 08:39Mwakilishi wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina mjini Tehran amesema Wapalestina kamwe hawatakubali kutekelezwa mpango wa Marekani wa kuwaondoa kwa nguvu wakazi wa Gaza.