Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukanda wa Ghaza

  • Mwanasheria Mmarekani: Israel imeua Wapalestina 360,000 Gaza

    Mwanasheria Mmarekani: Israel imeua Wapalestina 360,000 Gaza

    Feb 12, 2025 23:21

    Mwanasheria mashuhuri wa Marekani na mwanaharakati wa haki za watu asilia anakadiria kuwa jeshi la Israel limewaua takriban watu 360,000 katika vita vyake vya mauaji ya kimbari vilivyodumu kwa muda wa miezi 15 katika Ukanda wa Gaza, akisema kwamba idadi ya vifo vya kweli katika eneo lililozingirwa ni kubwa zaidi kuliko takwimu iliyoripotiwa na vyombo vya habari.

  • Pezeshkian: Mataifa ya Kiislamu yaungane kuijenga upya Gaza

    Pezeshkian: Mataifa ya Kiislamu yaungane kuijenga upya Gaza

    Feb 09, 2025 03:44

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ametoa mwito kwa nchi za Kiislamu kuungana na kushirikiana ili kulijenga upya eneo la Ukanda la Gaza ambalo limeharibiwa kikamilifu na mabomu ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Iran yataka OIC iitishe mkutano wa dharura kuijadili Gaza

    Iran yataka OIC iitishe mkutano wa dharura kuijadili Gaza

    Feb 09, 2025 03:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amekosoa vikali mpango wa pamoja wa Marekani na Israel wa kuwahamisha raia wa Gaza, na maangamizi ya kizazi katika eneo hilo lililozingirwa.

  • Bunge la Brussels: Vita vya Israel dhidi ya Gaza ni mauaji ya kimbari

    Bunge la Brussels: Vita vya Israel dhidi ya Gaza ni mauaji ya kimbari

    Feb 05, 2025 08:58

    Katika hatua kubwa kwa harakati za kupigania haki za wananchi wa Palestina, Bunge la Brussels limepasisha azimio la kutambua rasmi vitendo vinavyofanywa na jeshi la Israel huko Gaza kuwa ni mauaji ya kimbari, na kutaka kuwekewa vikwazo utawala huo wa Kizayuni.

  • Corbyn: Israel inabeba dhima ya kuuawa Wapalestina ' 61,709' Gaza

    Corbyn: Israel inabeba dhima ya kuuawa Wapalestina ' 61,709' Gaza

    Feb 04, 2025 23:11

    Kiongozi wa zamani wa Chama cha Leba nchini Uingereza, Jeremy Corbyn ameubebesha dhima utawala haramu wa Israel na wale ambao wanaendelea kuupelekea silaha utawala huo wa Kizayuni, kwa mauaji ya kimbari huko Palestina.

  • Marekani yasimamisha misaada mipya ya fedha nje ya nchi, Israel na Misri hazimo

    Marekani yasimamisha misaada mipya ya fedha nje ya nchi, Israel na Misri hazimo

    Jan 25, 2025 02:42

    Serikali mpya ya Marekani imetangaza kuwa inasitisha takribani ufadhili wote mpya wa msaada wa fedha wa nje ya nchi isipokuwa kwa washirika wake wawili ambao ni utawala wa Kizayuni wa Israel na Misri. Haijafahamika wazi kama uamuzi huo utaihusu pia Ukraine au la.

  • AU na nchi kadhaa za kikanda zakaribisha usitishaji vita Gaza

    AU na nchi kadhaa za kikanda zakaribisha usitishaji vita Gaza

    Jan 17, 2025 10:26

    Nchi kadhaa za Kiafrika na Umoja wa Afrika (AU) zimekaribisha makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).

  • Papa Francis: Mashambulizi ya anga ya Israel Ukanda wa Gaza ni ya kikatili

    Papa Francis: Mashambulizi ya anga ya Israel Ukanda wa Gaza ni ya kikatili

    Dec 22, 2024 00:07

    Kiongozi wa Wakatoliki duniani Papa Francis, amelaani mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kuyataja kuwa ni kitendo cha kikatili.

  • UN: 70% ya wahanga wa ukatili wa Israel Gaza ni watoto, wanawake

    UN: 70% ya wahanga wa ukatili wa Israel Gaza ni watoto, wanawake

    Nov 08, 2024 23:50

    Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa, wanawake na watoto wanaunda asilimia kubwa ya vifo na majeruhi wa mashambulizi ya kinyama ya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Wizara: Israel imeua wanafunzi karibu 12,000 tangu Oktoba 2023

    Wizara: Israel imeua wanafunzi karibu 12,000 tangu Oktoba 2023

    Oct 29, 2024 23:59

    Wizara ya Elimu katika Ukanda wa Gaza imesema utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua wanafunzi zaidi ya 11,852 katika eneo hilo lililozingirwa la Palestina, tangu Oktoba mwaka jana 2023.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS