Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukanda wa Ghaza

  • Ripota wa UN: Mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza ni

    Ripota wa UN: Mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza ni "aibu ya pamoja ya karne"

    Oct 21, 2024 08:05

    Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu ameyataja mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza kuwa ni "aibu ya pamoja ya karne" huku jamii ya kimataifa ikishindwa kulinda haki za Wapalestina.

  • Rais wa Afrika Kusini aitaka dunia kuishinikiza Israel kusitisha mashambulizi huko Gaza, Lebanon

    Rais wa Afrika Kusini aitaka dunia kuishinikiza Israel kusitisha mashambulizi huko Gaza, Lebanon

    Oct 14, 2024 23:15

    Rais wa Afrika Kusini jana aliwataka vingozi wa nchi mbalimbali duniani kuushinikiza utawala wa Israel ili kusitisha mashambulizi yake katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.

  • Wapalestina 28 wauawa shahidi katika mashambulizi ya Israel Gaza

    Wapalestina 28 wauawa shahidi katika mashambulizi ya Israel Gaza

    Oct 11, 2024 07:48

    Makumi ya Wapalestina wameuawa shahidi huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika jinai mpya za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Utafiti: 86% ya Wazayuni hawataki tena kuishi karibu na Gaza baada ya vipigo

    Utafiti: 86% ya Wazayuni hawataki tena kuishi karibu na Gaza baada ya vipigo

    Oct 06, 2024 22:49

    Utafiti mpya wa maoni umefichua kuwa, asilimia 86 ya Waisraeli wanasema hawataishi tena katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko karibu na Ukanda wa Gaza baada ya kumalizika mgogoro huo mbaya zaidi wa kibinadamu uliosababishwa na chokochoko za Tel Aviv.

  • Seneta wa Nigeria: Jinai za Israel Gaza, Lebanon zinaonyesha UN haina maana

    Seneta wa Nigeria: Jinai za Israel Gaza, Lebanon zinaonyesha UN haina maana

    Sep 26, 2024 23:35

    Mwanasiasa wa ngazi ya juu wa Nigeria amesema kuwa, mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na huko Beirut, mji mkuu wa Lebanon yameonyesha kushindwa kwa dunia kushughulikia suala la Palestina, na pia imeonyesha namna Umoja wa Mataifa ulivyo butu kwa kushindwa kukomesha ukatili na unyama wa Israel.

  • Watoto 625,000 wenye umri wa kwenda shule Gaza wanakabiliwa na sonona

    Watoto 625,000 wenye umri wa kwenda shule Gaza wanakabiliwa na sonona

    Sep 26, 2024 23:34

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limeripoti kuwa, zaidi ya watoto 625,000 wenye umri wa kwenda shule katika Ukanda wa Gaza wanaandamwa na kiwewe, sonona na msongo mkali wa mawazo huku wakiishi katika magofu na majengo yaliyoharibiwa na mabomu ya Wazayuni.

  • Iran yalaani shambulio la Israel dhidi ya skuli ya UN Gaza

    Iran yalaani shambulio la Israel dhidi ya skuli ya UN Gaza

    Sep 12, 2024 23:35

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulizi la anga la Israel dhidi ya shule nyingine iliyogeuzwa makazi na wakimbizi katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 18, wakiwemo wafanyakazi sita wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).

  • Hizbullah: Adui hana chaguo jingine ghairi ya kusitisha vita Gaza

    Hizbullah: Adui hana chaguo jingine ghairi ya kusitisha vita Gaza

    Sep 08, 2024 09:26

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, adui ana njia moja pekee, ambayo ni kusimamisha hujuma na mashambulizi ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Gaza.

  • Ripoti ya GRFC: Sudan na Gaza ni miongoni mwa maeneo yaliyo katika hatari kubwa ya njaa

    Ripoti ya GRFC: Sudan na Gaza ni miongoni mwa maeneo yaliyo katika hatari kubwa ya njaa

    Sep 07, 2024 23:38

    Ripoti iliyotolewa na Shirika la Global Report on Food Crises (GRFC) imeeleza kuwa Nigeria, Sudan, Ethiopia, Zimbabwe, Malawi , Chad na eneo la Ukanda wa Gaza ni maeneo ambayo yapo katika hatari kubwa ya kuathiriwa na njaa huku Kenya, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Lebanon mwaka huu zikipata nafuu ya kiwango fulani ikilinganishwa na mwaka jana wa 2023.

  • Jumuiya ya MSF yailaumu Israel kwa uharibifu unaoendelea mkabala wa mlipuko wa polio huko Gaza

    Jumuiya ya MSF yailaumu Israel kwa uharibifu unaoendelea mkabala wa mlipuko wa polio huko Gaza

    Sep 03, 2024 08:05

    Kundi la Misaada la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) linalojulikana pia kama Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka limesisitiza kuwa mashambulizi ya Israel na kuharibiwa miundo mbinu ya Ukanda wa Gaza ndio uliosababisha mlipuko wa polio katika eneo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS