-
Seneta Sanders: Washington ni mshirika wa jinai za Israel huko Gaza
Jan 25, 2024 08:12Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani amesema serikali ya Washington ni mshirika katika jinai za kutisha za Israel huko Ukanda wa Gaza kutokana na uungaji mkono wake kwa utawala huo unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Hujuma za Israel zimebomoa misikiti 1,000 Gaza tokea Oktoba 7
Jan 22, 2024 08:32Wizara ya Wakfu na Masuala ya Dini katika Ukanda wa Gaza imesema mashambulizi ya vikosi vya utawala katili wa Israel dhidi ya eneo hilo lililozingirwa yamebomoa na kuharibu misikiti 1,000 tokea Oktoba 7 mwaka uliopita hadi sasa.
-
Israel inaiangamiza Palestina kielimu kwa kulenga wasomi na vituo vya kielimu Gaza
Jan 22, 2024 04:00Utawala wa Kizayuni wa Israel umewauwa maprofesa 94 wa vyuo vikuu, mamia ya walimu, na maelfu ya wanafunzi katika Ukanda wa Gaza katika muda wa miezi mitatu, kwa mujibu wa shirika moja huru la kutetea haki za binadamu.
-
UN: Maelfu ya Wapalestina wa Gaza waliokamatwa na askari wa Israel wanateswa
Jan 20, 2024 03:52Umoja wa Mataifa umesema huenda vikosi vya jeshi la Israel vimewakamata maelfu ya Wapalestina wakazi wa Ukanda wa Gaza, huku utawala huo wa Kizayuni ukiendeleza mauaji na jinai za kutisha dhidi ya wakazi wa eneo hilo uliolizingira.
-
OCHA: Israel inazuia kupelekwa dawa kaskazini mwa Gaza
Jan 16, 2024 23:06Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema utawala wa Kizayuni wa Israel umeendelea kuzuia ufikishaji wa misaada muhimu ya kibinaadamu ikiwa ni pamoja na dawa muhimu na mafuta ya kuendesha huduma za maji na usafi wa mazingira kaskazini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Afrika Kusini kuzishtaki Marekani na Uingereza kwa kuhusika na jinai za kivita za Israel Gaza
Jan 16, 2024 03:35Baada ya Afrika Kusini kuwasilisha kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kwa kuhusika na mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza, mawakili wapatao 50 wa nchi hiyo wanatayarisha mashtaka mengine tofauti dhidi ya serikali za Marekani na Uingereza kwa msingi kwamba, serikali hizo zinahusika katika jinai na uhalifu unaofanywa na jeshi la Israel huko Gaza.
-
Wanazuoni wa Kiislamu kutuma ujumbe Gaza
Jan 15, 2024 08:18Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umeunda ujumbe ambao utautuma katika Ukanda wa wa Gaza kupitia Misri; huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiendelea kuwashambulia kikatili Wapalestina wa eneo hilo lililozingirwa.
-
Vituo vya matibabu ya akili vyataka kutangazwa hali ya hatari Israel
Jan 01, 2024 23:19Gazeti moja la utawala wa Kizayuni limefichua kuwa, tangu ilipoanza operesheni ya #Kimbunga_cha_al-Aqsa hadi hivi sasa, zaidi ya wakazi laki tatu wa utawala wa Kizayuni wameingia kwenye orodha ya watu wenye matatizo ya akili na saikolojia huko Israel.
-
Waandamanaji Uturuki: Marekani ndiye shetani halisi
Jan 01, 2024 08:25Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Uturuki wamekusanyika nje ya Ubalozi Mdogo wa Marekani mjini Istanbul katika maandamano ya kuonyesha himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina hususan wa Ukanda wa Gaza wanaoendelea kukabiliwa na hujuma na mashambulio ya kinyama ya utawala haramu wa Israel.
-
HAMAS yalaani pendekezo la kuwafurusha wakazi wa Gaza
Jan 01, 2024 08:24Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeashiria mpango wa Israel wa kuwafukuza kwa umati Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na kutahadharisha kuwa, pendekezo la viongozi wa utawala huo wa Kizayuni la kutaka kupunguzwa idadi ya wakazi wa Gaza ni jinai ya kivita.