-
Sisitizo jingine la China la kutatuliwa mgogoro wa Ukraine kwa njia ya mazungumzo
Aug 11, 2023 22:46Viongozi wa serikali ya China wangali wanasisitiza juu ya suluhisho la kisiasa na kidiplomasia kwa mzozo wa Ukraine.
-
Russia yatungua droni 11 za Ukraine karibu na eneo la Crimea
Aug 10, 2023 22:48Russia imesema imefanikiwa kutungua ndege 11 zisizo na rubani za Ukraine karibu na eneo la Crimea, na nyingine mbili zilizokuwa zinaelekea Moscow.
-
Moscow yasisitiza kuwa itatimiza malengo yake ya kijeshi huko Ukraine
Aug 08, 2023 23:43Dmitry Medvedev, Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, amesema kuwa nchi yake ina vikosi vya jeshi vya kutosha kutekeleza majukumu yote ya operesheni maalumu ya kijeshi nchini Ukraine.
-
Iran: Chokochoko za NATO ni miongoni mwa sababu kuu za vita vya Ukraine
Aug 07, 2023 09:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amegusia juhudi za Tehran kuelekea suluhisho la kisiasa la mgogoro wa Ukraine na kusisitiza kuwa muungano wa kijeshi wa NATO unaoongozwa na Marekani na chokochoko ulizofanya ni miongoni mwa sababu zilizopelekea kuzuka mgogoro huo.
-
Saudia yaitisha mkutano wa nchi 40 kujadili vita vya Ukraine bila kuialika Russia
Aug 05, 2023 23:00Saudi Arabia imeitisha mkutano mjini Jeddah, ambao umehudhuriwa na maafisa waandamizi kutoka nchi zipatazo 40, pasi na kuishirikisha Russia, lengo likiwa ni kupendekeza kanuni kuu za kuhitimisha vita kati ya nchi hiyo na Ukraine.
-
Zakharova: Shambulizi la Ukraine dhidi ya Moscow linafanana na la 9/11
Aug 01, 2023 22:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameashiria shambulio la karibuni la ndege zisizo na rubani za Kiev kwenye eneo la biashara mjini Moscow na kusema kuwa, hujuma hiyo inashabihiana na mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 mjini New York, Marekani.
-
Woga wa Marekani wa kukumbwa huko Ukraine na yale yale yaliyoikumba Washington nchini Afghanistan
Jul 30, 2023 23:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeonya kuhusu athari mbaya za ufisadi wa kiserikali nchini Ukraine kutokana na misaada isiyo na mahesabu ya kiuchumi inayomiminiwa nchi hiyo ya Ulaya Mashariki.
-
Russia: Shambulio la droni la Ukraine ni ugaidi wa kimataifa
Jul 24, 2023 07:51Russia imelitaja shambulio la ndege zisizo na rubani (droni) za Ukraine dhidi ya Moscow kuwa ugaidi wa kimataifa.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia: Marekani inahusika katika uhalifu wa mauaji ya mwandishi habari Mrussia
Jul 24, 2023 07:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Marekani inahusika katika uhalifu mpya wa Ukraine wa mauaji ya mwandishi wa habari wa Russia kwa kutuma mabomu ya vishada nchini Ukraine kwa kisingizio cha vita nchini humo.
-
Russia yatoa masharti saba ya kurudi tena kwenye mkataba wa usafirishaji nafaka
Jul 22, 2023 22:47Russia imetangaza kuwa iko tayari kurejea kwenye na mkataba wa nafaka uliosimamiwa na Umoja wa Mataifa na Uturuki, lakini kwa sharti tu kwamba mataifa ya Magharibi na Ukraine yatimize wajibu wao wa muda mrefu kuhusiana na Moscow ambao yameshindwa kuutekeleza hadi sasa.