Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Sisitizo kwa Umoja wa Ulaya la kujitoa katika makucha ya Marekani

    Sisitizo kwa Umoja wa Ulaya la kujitoa katika makucha ya Marekani

    Jan 26, 2018 00:29

    Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amesema mbele ya Baraza la Kimataifa la Uchumi mjini Davos Uswisi kwamba nchi za Ulaya zinapaswa kubadilisha siasa zao za kuitegemea Marekani katika masuala ya ndani na nje ya bara hilo.

  • Iran yakanusha madai ya kukubali mazungumzo kuhusu makombora

    Iran yakanusha madai ya kukubali mazungumzo kuhusu makombora

    Jan 17, 2018 23:02

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekadhibisha ripoti iliyochapishwa kwenye gazeti la The Financial Times kuwa Tehran imekubali kuingia katika mazungumzo kuhusu mradi wake wa makombora.

  • Wahajiri 100 wahofiwa kufa maji katika Bahari ya Mediterranean

    Wahajiri 100 wahofiwa kufa maji katika Bahari ya Mediterranean

    Jan 10, 2018 12:26

    Jeshi la Majini la Libya limetangaza kuwa yumkini wahajiri 100 waliotoweka katika ajali ya boti katika Bahari ya Mediterranean wakiwa safarini kulekea Ulaya, wamekufa maji.

  • Waziri Mkuu wa Hungary awaita wakimbizi Waislamu 'wavamizi'

    Waziri Mkuu wa Hungary awaita wakimbizi Waislamu 'wavamizi'

    Jan 10, 2018 01:05

    Waziri Mkuu wa Hungary amewataja wakimbizi Waislamu wanaowasili katika nchi za Ulaya wakikimbia migogoro Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika kuwa 'wavamizi Waislamu'.

  • Kuanza vita dhidi ya mitandao ya kijamii barani Ulaya

    Kuanza vita dhidi ya mitandao ya kijamii barani Ulaya

    Jan 04, 2018 04:38

    Kuanzia mwaka huu wa 2018 serikali ya Ujerumani inaanza kutekeleza sheria ambayo kwa mujibu wake mitandao ya kijamii yenye zaidi ya watumiaji milioni mbili italazimika kufuta posti na jumbe za mitandao ya kijamii zenye masuala yanayokiuka sheria hadi kufikia masaa 24 baada ya kupata habari za kuwepo jumbe kama hizo.

  • Afisa wa EU afichua mashirika ya kijasusi yaliyohusika na ghasia nchini Iran

    Afisa wa EU afichua mashirika ya kijasusi yaliyohusika na ghasia nchini Iran

    Jan 04, 2018 04:34

    Katibu Mkuu wa Shirika la Usalama na Intelejensia barani Ulaya amefichua kuwa, vituo viwili vya operesheni vinavyoundwa na maafisa wa ngazi za juu wa nchi za Magharibi, utawala wa Kizayuni na wawakilishi wa baadhi ya nchi za Kiarabu walikuwa wakiongoza machafuko na ghasia nchini Iran kutokea mjini Erbil, Kurdistan ya Iraq na Herat nchini Afghanistan.

  • Marekani yatuma maelfu ya magaidi wa Daesh barani Ulaya

    Marekani yatuma maelfu ya magaidi wa Daesh barani Ulaya

    Dec 27, 2017 12:21

    Gazeti moja linalochapishwa nchini Marekani limeandika kuwa, Marekani na wapinzani nchini Syria wamewatuma katika nchi za Ulaya maelfu ya magaidi wa kundi la ukufurishaji la Daesh kutokea Syria.

  • Erdogan ataka Waislamu walio wachache Ugiriki waheshimwe

    Erdogan ataka Waislamu walio wachache Ugiriki waheshimwe

    Dec 09, 2017 04:03

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ametoa mwito wa kuheshimwa haki za jamii ya Waislamu walio wachache nchini Ugiriki.

  • Waziri wa Ujerumani: Uhusiano wa Ulaya na Marekani hautorudi tena katika zama za kabla ya Trump

    Waziri wa Ujerumani: Uhusiano wa Ulaya na Marekani hautorudi tena katika zama za kabla ya Trump

    Dec 05, 2017 12:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema, katika zama za urais wa Donald Trump nafasi ya nguvu za kisiasa za Marekani duniani si kama ilivyokuwa huko nyuma.

  • EU na UN zatilia mkazo ulazima wa kufikiwa maeneo yaliyoathiriwa na vita Yemen

    EU na UN zatilia mkazo ulazima wa kufikiwa maeneo yaliyoathiriwa na vita Yemen

    Nov 13, 2017 00:48

    Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya anayehusika na misaada ya kibinadamu amesema kuwa mazingira ya kufikishwa misaada zaidi katika maeneo yaliyoathiriwa na vita huko Yemen yanapasa kuandaliwa kwa kuzingatia hali mbaya inayoisibu nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS