-
Kupungua uzalishaji wa viwanda nchini Ujerumani; sababu na matokeo yake
Sep 09, 2023 07:22Wizara ya Uchumi na Teknolojia ya Ujerumani imeripoti kwamba uzalishaji wa viwanda nchini Julai iliyopita ulishuka kwa kasi kuliko ilivyotarajiwa, na hivyo kuweka wazi matatizo yanayoukabili uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya.
-
Waislamu waghadhabishwa na kuchomwa moto Qur'ani Uholanzi
Aug 19, 2023 06:58Waislamu katika kona zote za dunia wamehamakishwa na kitendo kingine cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu, mara hii katika mji wa The Hague nchini Uholanzi.
-
Ongezeko lisilokuwa la kawaida la idadi ya kampuni zilizofilisika laripotiwa Ulaya
Aug 18, 2023 04:47Idadi ya makampuni yaliyofilisika barani Ulaya imefikia kiwango cha juu zaidi tangu 2015.
-
Papa Francis atoa mwito wa kushughuliwa hali ya wahamiaji barani Ulaya
Aug 14, 2023 00:29Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ametoa mwito wa kushughuliwa hali ya wahamiaji barani Ulaya.
-
Ukosoaji mkali wa Putin kwa hatua ya Ulaya ya kuifuata kibubusa Marekani
Jul 17, 2023 22:57Rais Vladimir Putin wa Russia amekosoa vikali kutokuwa huru nchi za Ulaya na kuwa tayari nchi hizo kutekeleza kibubusa amri na maagizo ya Marekani.
-
Iran: Mapuuza ya Magharibi yameshadidisha mgogoro wa wakimbizi
Jun 21, 2023 00:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Magharibi inajaribu kukwepa kubeba dhima ya mgogoro wa wakimbizi unaoshuhudiwa hivi sasa, na kwamba sera mbovu za Marekani na nchi za Ulaya ndizo zinazofaa kulaumiwa kwa mgogoro huo.
-
Rais Kais Saied: Tunisia haitakuwa mlinzi wa mipaka ya Ulaya
Jun 12, 2023 01:10Rais Kais Saied wa Tunisia amesema nchi hiyo haitakubali kufanywa gadi ya mpaka ya nchi za Ulaya, wakati huu ambapo safari za wahamiaji haramu kwenda Ulaya kupitia Bahari ya Mediterania zimeongezeka.
-
Onyo kuhusu kudorora Ulaya katika mfumo unaotawaliwa na Marekani
May 31, 2023 21:52Mwanafikra mashuhuri wa Marekani Noam Chomsky ameonya kwamba huenda Ulaya ikadhoofika sana kiviwanda ikiwa itaendelea kuwa chini ya utawala wa Marekani.
-
Chomsky aonya kuhusu matokeo mabaya ya Ulaya kuwa chini ya utawala wa Marekani
May 31, 2023 06:28Mwanafalsafa na mwanaisimu mashuhuri wa Marekani ameonya kuhusu matokeo mabaya ya Ulaya kuwa chini ya udhibiti wa Marekani.
-
Mgogoro wa nishati umeua watu wengi Ulaya kuliko Corona
May 28, 2023 03:17Takwimu rasmi zinaonesha kuwa, mgogoro wa nishati barani Ulaya katika msimu uliopita wa baridi kali ulisababisha maafa makubwa katika bara hilo kuliko janga la Corona.