-
Pezeshkian asisitiza Umoja wa Kitaifa kama ufunguo wa maendeleo
Jan 09, 2025 11:07Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa umoja wa kitaifa kama msingi wa sera ya utawala wake, akiangazia nafasi yake muhimu katika maendeleo ya nchi.
-
Rais wa Iran: Jinai za Israel ni matokeo ya ukosefu wa umoja wa Waislamu
Sep 19, 2024 14:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, adui analeta mgawanyiko na mifarakano kati yetu na kubainisha kwamba, Waisraeli milioni 2 au 3 wanawaangamiza Waislamu, wanaua wanawake na watoto, wazee na vijana na wagonjwa, wanapiga mabomu hospitali na misikiti na sisi tumekaa tu na kutazama, kwa sababu hatuna umoja na ndio maana Israel inathubutu kufanya jinai hizi.
-
Rais Masoud Pezeshkian: Kuimarisha umoja na mshikamano lengo kuu la safari yangu nchini Iraq
Sep 14, 2024 07:18Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja na mshikamano ni lengo kuu la safari yake nchini Iraq na kuongeza kuwa nia na azma ya serikali za Tehran na Baghdad ni kuimarisha uhusiano wa pande mbili na ushirikiano wa kieneo.
-
Iran: Tunaichukulia Hija kuwa ni nembo na dhihirisho la umoja na mshikamano
Jun 18, 2024 10:51Balozi wa Iran nchini Saudi Arabia amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inaichukulia ibada ya Hija kuwa ni kielelezo na mhimili wa umoja na mshikamano katika safu za Waislamu na ni fursa adhimu ya kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu na kufikiria kwa pamoja njia za kutatua masuala ya Waislamu.
-
Azimio la maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds: Umoja, ufunguo wa kushinda ubeberu wa kimataifa
Apr 14, 2023 12:21Wananchi wa Iran walioshiriki katika maandamano ya leo ya Siku ya Kimataifa ya Quds wametangaza kuwa Umoja ndio ufunguo wa kushinda njama za ubeberu wa kimataifa.
-
Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya Siku ya Quds na kulaani jinai za Israel, Marekani
Apr 14, 2023 12:20Mamilioni ya wananchi wa Iran ya Kiislamu leo wameshiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds na kuunga mkono mapambano ya ukombozi ya wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina ikiwa ni pamoja na kuonyesha kuchukizwa kwao na jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel na waitifaki wake hususan Marekani.
-
Shahriari: Wamagharibi wanafanya njama za kuwazozanisha Waislamu, umoja ndiyo ngao yetu
Feb 15, 2023 07:44Katibu Mkuu wa Baraza la Kimataifa la Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu amesema kuwa, ushirikiano baina ya madhehebu ya Kiislamu ndio msingi wa kupatikana umoja na mshikamano katika umma wa Kiislamu.
-
Makundi ya Palestina yasisitiza kufanyika uchaguzi na kuunda chombo kimoja cha uongozi
Mar 19, 2021 02:44Makundi ya Palestina yametoa taarifa mwishoni mwa kikao chao huko Cairo mji mkuu wa Misri yakikisisitizia kufanyika uchaguzi na kuunda chombo kimoja cha uongozi.
-
Palestina katika njia ya umoja na mshikamano wa ndani
Oct 13, 2020 02:39Baada ya baadhi ya nchi za Kiarabu kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na kulitelekeza waziwazi taifa la Palestina, sasa hivi makundi ya Palestina yameelewa kuwa njia pekee ya kulinda uwepo wa taifa lao ni umoja na mshikamano.
-
Spika mpya wa Bunge la Iran ahimiza umoja wa Waislamu dhidi ya Israel
May 30, 2020 04:18Spika mpya wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesisitizia umuhimu wa umoja wa Waislamu na jitihada za pamoja za kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel.