-
Kikao cha Tehran chalaani kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel
Nov 24, 2018 02:46Taarifa ya mwisho ya kikao cha "Nafasi ya Vyama na Wanaharakati wa Kisiasa katika Kupunguza Hitilafu za Kimadhehebu na Kulinda Malengo ya Palestina" kilichofanyika hapa mjini Tehran imelaani hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel na imesisitizia udharura wa kulindwa Quds na Palestina kwa nguvu zote.
-
Nchi 100 kuwakilishwa katika Kongamano la 32 la Umoja wa Kiislamu nchini Iran
Nov 18, 2018 02:45Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madehehbu za Kiislamu amesema, wageni kutoka nchi 100 wamealikwa kushiriki katika Kongamano la 32 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu ambalo limepangwa kufanyika tarehe 24 hadi 26 mwezi huu wa Novemba hapa mjini Tehran.
-
Mufti wa Syria asisitiza kuhusu umoja wa nchi za Kiislamu
Feb 18, 2018 03:13Mufti Mkuu wa Syria Sheikh Ahmad Badruddin Hassoun amesisitiza kuhusu ulazima wa kuungana mataifa na nchi za Kiislamu duniani.
-
Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui
Feb 16, 2018 13:55Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.
-
Rais Rouhani asisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu dhidi ya maadui
Feb 16, 2018 13:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; umoja wa kitaifa, utukufu wa Uislamu na dola la kimataifa la Imam Mahdi (af)
Feb 09, 2018 12:55Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yana sifa za kipekee. Umoja wa kitaifa na utukufu wa Uislamu ambayo ni misingi muhimu ya dola la kimataifa la Imam Mahdi (af) ni baadhi ya sifa za mapinduzi hayo.
-
Ayatullah Araki: Umoja ni ufumbuzi wa matatizo ya jamii ya Kiislamu
Dec 23, 2017 02:42Katibu Mkuu wa Jumuuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, njia na utatuzi wa matatizo ya jamii ya Kiislamu na kupoza maumivu ya majeraha yaliyopo ni kuweko umoja na mshikamano baina ya Waislamu.
-
Wananchi wa Mauritania waandamana kumlaani Donald Trump
Dec 11, 2017 14:32Wananchi wa Mauritania wameungana na Waislamu na wapenda haki katika kona zote za dunia kuendeleza maandamano ya kumlaani rais wa Marekani, Donald Trump kwa hatua yake ya kuitambua Quds kuwa mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.
-
Mkutano wa Umoja wa Kiislamu waunga mkono Intifadha mpya ya Palestina
Dec 08, 2017 11:44Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umemalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa yenye vipengee 26 inayosisitiza kuimarishwa umoja wa Kiislamu kwa ajili ya kupambana na njama za maadui, ikiwemo njama mpya ya Marekani dhidi ya Quds Tukufu.
-
Rais wa Iran asisitiza juu ya Waislamu kuwa macho na Ubeberu na Uzayuni
Dec 07, 2017 01:43Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa Waiskamu kuwa macho na njama za maadui.