-
UN yatiwa wasiwasi na hali za wanawake wa Kiiraqi katika miji inayokaliwa kwa mabavu na Daesh
Aug 22, 2017 23:17Ujumbe wa misaada ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ulioko nchini Iraq na ofisi ya haki za binadamu ya umoja huo zimetoa ripoti na kutangaza kuwa wanawake na wasichana wa Kiiraqi wanaoishi kwenye miji inayokaliwa kwa mabavu na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wanakabiliwa na ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Sudan Kusini yapiga marufuku ndege za walinda amani wa UN kutumia uwanja wa Juba
Aug 22, 2017 10:57Serikali ya Sudan Kusini imepiga marufuku ndege za vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa kuruka kutokea uwanja wa ndege wa mji mkuu wa nchi hiyo, Juba.
-
Watoaji wa huduma za kibinadamu Sudan Kusini waendelea kushambuliwa
Aug 19, 2017 23:54Mratibu wa masuala ya kibiadamu nchini Sudan Kusini amesema kuwa mashambulizi dhidi ya watoaji wa huduma za kibiandamu nchini humo yameongezeka.
-
Katibu Mkuu wa UN akerwa na vita vya maneno kati ya US na Korea Kaskazini
Aug 17, 2017 03:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu kushtadi vita vya maneno kati ya Marekani na Korea Kaskazini na kusema kuwa, kuna haja ya pande mbili hizo kukumbatia diplomasia.
-
UN yaikosoa Marekani kwa kuwazuilia wahajiri na wanaotafuta hifadhi
Aug 14, 2017 23:26Wataalamu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamekosoa kitendo cha Marekani kuendelea kuwazuilia wahamiaji na raia wa kigeni wanaotafuta hifadhi nchini humo.
-
Hatimaye UN yavunja kimya chake, yaitaka Saudia iheshimu haki za binadamu
Aug 11, 2017 02:38Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia kukomesha jinai na mashambulio dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia mashariki mwa nchi hiyo.
-
UN: Tunafuatilia kwa karibu uchaguzi wa Kenya
Aug 08, 2017 03:21Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema umoja huo unafuatilia kwa karibu zoezi la uchaguzi mkuu linalofanyika hii leo nchini Kenya.
-
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu dalili za mauaji ya kimbari CAR
Aug 08, 2017 03:18Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, kuna uwezekano mkubwa wa kutokea mauji ya kimbari huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
UN yapeleka Yemen dawa ambazo muda wake wa matumizi umepita kutibu wagonjwa wa kipindupindu
Aug 06, 2017 23:14Mwakilishi wa Wizara ya Afya ya Yemen amesema, kwa mujibu wa taarifa za kuaminika, Umoja wa Mataifa unaepeleka nchini humo dawa ambazo muda wake wa matumizi umepita ili kutibu wagonjwa wa kipindupindu.
-
Umoja wa Mataifa wagundua makaburi ya umati kaskazini mwa Mali
Aug 06, 2017 02:31Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali (MINUSMA) kimegundua makaburi ya umati kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiafrika.