-
UN: Tuna wasiwasi CAR itatumbukia tena katika machafuko makubwa
Jul 27, 2017 10:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa, yumkini Jamhuri ya Afrika ya Kati ikajikuta imetumbukia tena katika mgogoro mpana na machafuko makubwa ambayo yatavuruga jitihada za kurejesha amani na uthabiti katika nchi hiyo.
-
Mbabe wa kivita wa Kongo ajisalimisha kwa wanajeshi wa UN
Jul 27, 2017 03:15Ntabo Ntaberi Sheka mmoja wa wababe hatari wa kivita waliokuwa wakisakwa kwa udi na uvumba wa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa jinai dhidi ya binadamu amejisalimisha kwa Umoja wa Mataifa.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya ya watoto milioni mbili wa Yemen
Jul 26, 2017 09:32Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, watoto milioni mbili nchini Yemen wanakabiliwa na hali mbaya ya lishe duni, vita, umasikini na maradhi ya kipindupindu huku nchi hiyo ikakaribia kukabiliwa na ukame.
-
UN yawatuhumu wanajeshi wa DRC kuhusika na mauaji ya Kasai
Jul 26, 2017 03:15Umoja wa Mataifa umelituhumu kwa njia isiyo ya moja kwa moja jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa limehusika na mauaji ya umati katika eneo la Kasai.
-
UN yatahadharisha kuhusu mgogoro wa Congo DR
Jul 22, 2017 22:20Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya misaada ya kibinadamu ametahadharisha kuhusu mgogoro mkubwa unaisumbua Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
UN: Kuna uwezekano waasi na vyombo vya usalama viliwaua watumishi wetu
Jul 19, 2017 09:46Kundi moja la Umoja wa Mataifa limetangaza kuwa, kuna uwezekano makundi ya wababe silaha na maafisa wa vyombo vya usalama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, walihusika katika mauaji dhidi ya wataalamu wa umoja huo waliokuwa wakichunguza kuhusu makaburi ya umati nchini humo.
-
UN yataka kufanyika uchunguzi kuhusu mauaji ya wafungwa Libya
Jul 19, 2017 01:59Umoja wa Mataifa umelitaka Jeshi la Taifa la Libya linalodhibiti eneo la mashariki mwa nchi hiyo kufanya uchunguzi kuhusu mauaji ya papo na hapo ya wafungwa.
-
Sisitizo la mjumbe wa UN kwa ajili ya kufuatiliwa mipango ya kiadui dhidi ya Yemen
Jul 18, 2017 03:16Ismail Ould Sheikh Ahmed Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen jana alisema kuwa bandari ya al Hodeidah huko Yemen inapasa kusimamiwa na umoja huo.
-
Antonio Guterres aipongeza Iran kwa kufungamana kikamilifu na JCPOA
Jul 15, 2017 08:32Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na kufungamana kwake kikamilifu na makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya udharura wa kuzuia kupelekwa magaidi nchini Syria
Jul 15, 2017 08:02Stephen de Mistura Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari kuwa upelekeaji wa magaidi huko Syria unapasa kukomeshwa.