-
UN yawatuhumu wanajeshi wa DRC kuhusika na mauaji ya Kasai
Jul 26, 2017 03:15Umoja wa Mataifa umelituhumu kwa njia isiyo ya moja kwa moja jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa limehusika na mauaji ya umati katika eneo la Kasai.
-
UN yatahadharisha kuhusu mgogoro wa Congo DR
Jul 22, 2017 22:20Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya misaada ya kibinadamu ametahadharisha kuhusu mgogoro mkubwa unaisumbua Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
UN: Kuna uwezekano waasi na vyombo vya usalama viliwaua watumishi wetu
Jul 19, 2017 09:46Kundi moja la Umoja wa Mataifa limetangaza kuwa, kuna uwezekano makundi ya wababe silaha na maafisa wa vyombo vya usalama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, walihusika katika mauaji dhidi ya wataalamu wa umoja huo waliokuwa wakichunguza kuhusu makaburi ya umati nchini humo.
-
UN yataka kufanyika uchunguzi kuhusu mauaji ya wafungwa Libya
Jul 19, 2017 01:59Umoja wa Mataifa umelitaka Jeshi la Taifa la Libya linalodhibiti eneo la mashariki mwa nchi hiyo kufanya uchunguzi kuhusu mauaji ya papo na hapo ya wafungwa.
-
Sisitizo la mjumbe wa UN kwa ajili ya kufuatiliwa mipango ya kiadui dhidi ya Yemen
Jul 18, 2017 03:16Ismail Ould Sheikh Ahmed Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen jana alisema kuwa bandari ya al Hodeidah huko Yemen inapasa kusimamiwa na umoja huo.
-
Antonio Guterres aipongeza Iran kwa kufungamana kikamilifu na JCPOA
Jul 15, 2017 08:32Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutokana na kufungamana kwake kikamilifu na makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya udharura wa kuzuia kupelekwa magaidi nchini Syria
Jul 15, 2017 08:02Stephen de Mistura Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari kuwa upelekeaji wa magaidi huko Syria unapasa kukomeshwa.
-
UN yataka waliofanya mauaji katikati mwa DRC wasakwe, wakamatwe
Jul 13, 2017 09:47Mkuu wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametaka wale wote waliofanya machafuko na mauaji katikati mwa nchi hiyo, wasakwe na kutiwa mbaroni hata kama ni wakuu wa kijeshi na kisiasa.
-
WHO: Asilimia 60 ya watu duniani hawapati maji safi na salama
Jul 13, 2017 00:01Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, asilimia 60 ya watu duniani hawapati maji safi na salama kwa ajili ya matumizi ya binadamu.
-
Iran yaunga mkono kikamilifu mkataba wa UN wa kupiga marufuku uundwaji silaha za nyuklia
Jul 07, 2017 23:16Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, IAEA, amesema Iran ambayo ni muathirika wa silaha za maangamizi ya umati, inaunga mkono kikamilifu mkataba mpya wa Umoja wa Mataifa kuhusu kupigwa marufuku silaha za nyuklia.