-
Juhudi za Afrika za kuongezewa hisa katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Jul 03, 2017 08:40Naibu Mkuu wa Kamisheni ya Afrika (AU) amezitaka nchi za bara hilo kuungana na kuwa na sauti moja kwa ajili ya kuimarisha nafasi na uwakilishi wa bara hilo katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
UN yaafiki kupunguza bajeti ya wanajeshi walinda amani kwa mashinikizo ya USA
Jul 01, 2017 03:02Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limekubali kupunguza kwa kiasi kikubwa bajeti ya operesheni za kulinda amani kufuatia mashinikizo ya Marekani.
-
Makaburi mengine ya umati yagunduliwa Kasai, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Jun 26, 2017 23:25Serikali yai Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kuwa, imegundua zaidi ya makaburi kumi ya umati katika mkoa wa Kasai, mahali ambapo vikosi vya serikali na makundi ya waasi yametuhumiwa kwa kufanya mauaji dhidi ya raia.
-
Katibu Mkuu UN: Sharti vita vimalizike Sudan Kusini ili kutatua mgogoro wa wakimbizi
Jun 23, 2017 23:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema suluhu ya wimbi kubwa la wakimbizi barani Afrika tangu mauaji ya Kimbari ya Rwanda ni kumaliza mgogoro wa Sudan Kusini.
-
Askari wa Umoja wa Mataifa washindwa kurejesha amani CAR
Jun 22, 2017 03:49Licha ya kupita miaka minne tokea kutumwa askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa huko katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, lakini bado nchi hiyo inashuhudia machafuko ambayo yamepelekea mamia ya watu kuuawa.
-
Waziri wa zamani wa Lebanon, mjumbe mpya wa UN nchini Libya
Jun 22, 2017 03:30Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limemuidhinisha Ghassan Salame, raia wa Lebanon kuwa mjumbe maalumu wa umoja huo katika masuala ya Libya.
-
Tuhuma za Umoja wa Mataifa kwa viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jun 21, 2017 23:51Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, amewatuhumu viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa wanayapa silaha baadhi ya makundi ya wanamgambo wa nchi hiyo.
-
UN yaipongeza Iran kwa kutoa huduma ziada kwa wakimbizi
Jun 21, 2017 23:12Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi UNHCR limeipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kutoa huduma ziada kwa wakimbizi.
-
Qatar yawasilisha rasmi malalamiko UN kutokana na uhasama wa Saudia
Jun 19, 2017 22:02Serikali ya Qatar imewasilisha malalamiko yake rasmi kwa Umoja wa Mataifa kufuatia hatua ya Saudia, Bahrain, Misri na Imarat ya kuiwekea mzingiro wa kiuchumi na kisiasa, baada ya nchi hizo kudai kuwa, Doha inaunga mkono ugaidi.
-
UNHCR: Mamilioni ya watu wamekuwa wakimbizi duniani
Jun 19, 2017 10:58Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa (UNHCR) imetangaza kuwa, watu milioni 65 na laki sita walikuwa wakimbizi kote duniani hadi kufikia mwishoni mwa mwaka uliopita wa 2016.