-
Ban Ki-moon afanya mkutano wa mwisho na waandishi habari akiwa Katibu Mkuu wa UN
Dec 17, 2016 04:11Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amefanya mkutano rasmi wa mwisho na waandishi wa habari mjini New York ikiwa ni takribani majuma mawili kabla ya kumaliza awamu ya pili na ya mwisho ya uongozi wake katika chombo hicho .
-
UN yataka kutumwa askari wa kulinda amani Sudan Kusini
Dec 14, 2016 10:44Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kutumwa askari wa kulinda amani nchini Sudan Kusini, ili kuzuia nchi hiyo isitumbukie katika mauaji ya kimbari kama yale yaliyoshuhudiwa nchini Rwanda mwaka 1994.
-
Kuapishwa Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa na changamoto zinazoukabili umoja huo
Dec 14, 2016 00:54Antonio Guterres, Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa siku ya Jumatatu alikula kiapo katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ikiwa ni siku chache tu kabla ya kukabidhiwa rasmi ofisi ya Katibu Mkuu wa UN.
-
Guterres aapishwa, awataka viongozi kuwasikiliza wananchi
Dec 13, 2016 04:24Waziri Mkuu wa zamani wa Ureno, Antonio Guterres, ameapishwa kuwa Katibu MKuu mpya wa Umoja wa Mataifa, kuja kurithi mikoba ya Ban Ki-moon.
-
Syria yalaani azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa
Dec 10, 2016 04:00Syria imelaani azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linalotaka kusimamishwa "mara moja" mapambano dhidi ya makundi yanayobeba silaha ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
UN: Boko Haram ingali tishio licha ya kupoteza ngome zake
Dec 08, 2016 04:02Mjumbe wa Umoja wa Mataifa amesema kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram lenye makao yake nchini Nigeria lingali tishio katika eneo la Ziwa Chad licha ya kupoteza udhibiti wa ngome zake nyingi.
-
Ban ataka watu wenye ulemavu washirikishwe katika maendeleo
Dec 03, 2016 10:08Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametoa wito wa kujumuishwa kikamilifu watu wenye ulemavu katika shughuli za maendeleo.
-
UN yatoa wito wa kusaidiwa nchi ya Somalia
Dec 03, 2016 01:14Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa jumuiya za kitaifa kutoa misaada ya kibinadamu kwa Somalia.
-
Indhari ya UN juu ya uwezekano wa kutokea mauaji ya kimbari Sudan Kusini
Dec 02, 2016 13:01Kutokana na kuendelea mapigano nchini Sudan Kusini kuna hatari ya kutokea mauaji ya kimbari nchini humo.
-
Ra'ad al-Hussein: Kujiondoa ICC ni kuwasaliti wahanga wa ukiukwaji wa haki za binadamu
Dec 01, 2016 11:30Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusu mwenendo wa kujiondoa nchi mbalimbali katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).