-
Ould Sheikh apinga serikali ya Uokovu wa Kitaifa Yemen
Nov 30, 2016 00:39Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Yemen amedai kuwa hatua ya Harakati ya Ansarullah ya kuunda serikali mpya ya Uokovu wa Kitaifa nchini humo haiisaidii chochote nchi hiyo wala kusogeza mbele mchakato wa amani nchini humo.
-
UN na EU zalaani shambulizi la kigaidi katika soko nchini Somalia
Nov 28, 2016 12:35Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya zimelaani shambulizi la kigaidi lililotokea katika soko la mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
UN: Kwa akali watoto milioni nne wa Kongo DR wamepoteza mzazi mmoja au wote
Nov 28, 2016 11:25Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kwa akali watoto milioni nne wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamepoteza mzazi mmoja au wote wawili.
-
Iran yakosoa utendaji wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na vitendo vya kigaidi
Nov 27, 2016 04:09Balozi na Naibu Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amekikosoa kimya cha Umoja wa Mataifa kuhusiana na vitendo vya kigaidi na kulitaka Baraza la Usalama la umoja huo kutekeleza majukumu yake ipasavyo kuhusiana na suala zima la ugaidi.
-
Sudan Kusini ipo tayari kutumwa kikosi kipya cha UN nchini humo
Nov 27, 2016 01:16Serikali ya Sudan Kusini imesema kuwa ipo tayari kuafiki kutumwa nchini humo kikosi kipya cha kudumisha amani wakati wowote, baada ya mapigano ya mwezi Julai huko Juba kutishia kuitumbukiza nchi hiyo katika vita vikubwa.
-
UN: Hali ya mambo Jamhuri ya Afrika ya Kati inatia wasiwasi
Nov 26, 2016 11:02Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu ongezeko la ukatili na takwimu za mauaji ya raia katika mapigano yaliyoanza wiki iliyopita katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa washambuliwa Sudan
Nov 26, 2016 04:40Watu wenye silaha wamewalenga wafanyakazi wanne ambao ni wajumbe wa kamati ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika katika mji wa Nyala katikati mwa mkoa wa Darfur Kusini nchini Sudan.
-
Sisitizo la Russia juu ya nafasi ya UN katika kutatua migogoro ya kimataifa
Nov 25, 2016 12:57Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuna udharura wa kuwepo ushirikiano kati ya nchi yake na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kutatua migogoro duniani.
-
UN yakosoa kuendelea ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi
Nov 24, 2016 04:34Umoja wa Mataifa umelaani uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kujenga nyumba 500 mpya mashariki mwa Baitul Muqaddas.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya haki ya taifa la Palestina ya kujiainishia mustakbali
Nov 23, 2016 23:32Nchi 170 kati ya nchi 193 wanachama wa Kamati ya Kijamii, Kiutamaduni na Kibinadamu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (SOCHUM) zimeipigia kura ya ndio rasimu ya azimio lenye anwani inayosema, "Haki ya Taifa la Palestina ya Kujiainishia Mustakabali Wake".