Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Iran: Marekani ni mvamizi Syria, itoke haraka

    Iran: Marekani ni mvamizi Syria, itoke haraka

    Mar 15, 2021 23:45

    Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, madola vamizi ikiwemo Marekani yanapaswa kutoka katika ardhi ya Syria na hiyo ndiyo njia pekee ya kukomesha mapigano nchini humo na kutatuliwa kwa njia za amani mgogoro wa nchi hiyo.

  • UN: Mizozo imesababisha watu milioni 88 duniani wakabiliwe na njaa

    UN: Mizozo imesababisha watu milioni 88 duniani wakabiliwe na njaa

    Mar 14, 2021 04:31

    Umoja wa Mataifa umesema makumi ya mamilioni ya watu katika pembe mbalimbali za dunia wanaandamwa na njaa na ukosefu wa usalama wa chakula kutokana na mizozo, migogoro na ukosefu wa uthabiti.

  • UN yaanzisha kampeni ya usambazwaji chanjo ya COVID-19 duniani kote

    UN yaanzisha kampeni ya usambazwaji chanjo ya COVID-19 duniani kote

    Mar 12, 2021 04:43

    Umoja wa Mataifa umezindua kampeni ya kuhakikisha chanjo dhidi ya Corona au COVID-19 zinapatikana kwa wote na popote pale duniani.

  • UN: Majeshi ya Eritrea, Ethiopia yumkini yamefanya jinai za kivita Tigray

    UN: Majeshi ya Eritrea, Ethiopia yumkini yamefanya jinai za kivita Tigray

    Mar 04, 2021 23:02

    Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema ofisi yake ina ithibati ya kufanyika jinai za kutisha ambazo zinaweza kuwa jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu zilizofanywa na wanajeshi wa Ethiopia na Eritrea katika eneo la Tigray.

  • Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu kupungua misaada kwa Yemen

    Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu kupungua misaada kwa Yemen

    Mar 03, 2021 04:58

    Mnamo Machi 2015, Saudi Arabia, ikishirikiana kwa karibu na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati), ilianzisha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen na hivi sasa wakati vita hivyo vikiingia mwaka wa saba, nchi hiyo inakabiliwa na mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu.

  • Yemen: Umoja wa Mataifa utekeleze jukumu lake la kulinda raia

    Yemen: Umoja wa Mataifa utekeleze jukumu lake la kulinda raia

    Mar 01, 2021 23:15

    Msemaji wa Wizara ya Afya ya Serikali ya Uwokozi wa Kitaifa ya Yemen amesema: "Umoja wa Mataifa unapaswa kuchukua hatua ya kuzishinikiza nchi ambazo zimeivamia Yemen ili ziliende maisha ya raia."

  • Polisario yailaumu UN kwa mkwamo wa kisiasa Sahara Magharibi

    Polisario yailaumu UN kwa mkwamo wa kisiasa Sahara Magharibi

    Feb 28, 2021 22:51

    Harakati ya Ukombozi ya Polisario inayopigania kuwa huru Sahara Magharibi imeulaumu Umoja wa Mataifa kwa mkwamo wa kisiasa katika mgogoro wa miongo kadhaa wa eneo hilo la kusini mwa Morocco.

  • UN yapitisha azimio kuhakikisha chanjo ya Covid-19 inafika maeneo yenye vita na mapigano

    UN yapitisha azimio kuhakikisha chanjo ya Covid-19 inafika maeneo yenye vita na mapigano

    Feb 27, 2021 03:12

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO amesema amefarijika na hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura na kupitisha azimio la kutaka pande zote katika mizozo zisitishe uhasama ili kutoa fursa ya kutoa chanjo dhidi ya corona au Covid-19 na misaada mingine ya kibinadamu.

  • UNHCR yahimiza kuokolewa haraka wakimbizi Waislamu Warohingya waliokwama majini

    UNHCR yahimiza kuokolewa haraka wakimbizi Waislamu Warohingya waliokwama majini

    Feb 23, 2021 03:22

    Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, limetoa wito wa kutafutwa na kuokolewa haraka kundi la wakimbizi Waislamu Warohingya ambao wamekwama katika meli kwenye eneo la maji la Andaman kwa zaidi ya wiki moja.

  • UN yatoa mwito wa kuheshimiwa makubaliano ya JCPOA

    UN yatoa mwito wa kuheshimiwa makubaliano ya JCPOA

    Feb 20, 2021 09:13

    Naibu Msemaji wa Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekaribisha hatua ya Marekani ya kumwandikia barua Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo ya kuondoa madai ya serikali iliyotangulia ya nchi hiyo kuhusu kurejeshwa vikwazo vyote vya UN dhidi ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS