-
UN yasimamisha shughuli zake Nigeria baada ya wahudumu wake kuuawa
Mar 04, 2018 04:36Umoja wa Mataifa umetangaza habari ya kusitisha shughuli zake za utoaji huduma na misaada ya kibinadamu kaskazini mashariki mwa Nigeria kutokana na kuuawa wafanyakazi wake katika mashambulizi ya hivi karibuni ya magaidi wa Boko Haram.
-
Kukosolewa Umoja wa Mataifa kwa kuibariki Saudi Arabia kuendeleza jinai zake huko Yemen
Mar 03, 2018 23:06Hizam al Assad mwakilishi wa ngazi ya juu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ni sababu ya kuendelea mashambulizi ya kinyama ya Saudi Arabia huko Yemen.
-
Wasiwasi wa makamanda wa Marekani kutokana na vita tarajiwa vya Rais Trump dhidi ya Korea Kaskazini
Mar 03, 2018 04:09Katika kikao maalumu na baada ya kuchunguza athari za mashambulizi tarajiwa ya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini, makamanda wa jeshi la nchi hiyo wamesema kuwa, katika saa za mwanzo za mashambulizi hayo kwa akali askari elfu 10 wa Marekani watakuwa wameuawa.
-
Iran: Marekani inawasaidia wavamizi wa Yemen
Feb 27, 2018 04:27Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, madai ya kukaririwa na ya kuchosha ya mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa dhidi Iran ni msaada kwa wavamizi wa Yemen.
-
Mwakilishi wa UN Burundi aeleza wasiwasi kuhusu hali ya ndani nchini humo
Feb 27, 2018 03:35Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi ameliambia Baraza la Usalama la umoja huo kwamba mgogoro wa nchi hiyo unatia wasiwasi.
-
UN yasema itaendelea kuunga mkono mapambano dhidi ya al-Shabaab Somalia
Feb 25, 2018 11:59Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa sambamba na kulaani mashambulizi ya kigaidi ya hivi karibuni yaliyoua makumi ya watu katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, amesisitiza kuwa umoja huo utaendelea kuunga mkono jitihada za kulitokomeza kundi la kigaidi na la ukufurishaji la al-Shabaab.
-
UN yaendelea kuandamwa na kashfa za kijinsia
Feb 23, 2018 21:20Mkurugenzi mtendaji wa mpango wa kudhibiti UKIMWI wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, naibu wa mkuu wa ofisi hiyo amelazimika kujiuzulu kutokana na tuhuma za kimaadili zinazomkabili.
-
UN yakosoa ukandamizaji wa waandishi habari Sudan Kusini
Feb 23, 2018 00:22Umoja wa Mataifa umekosoa mienendo na hatua zinazochukuliwa na serikali ya Sudan Kusini dhidi ya waandishi wa habari.
-
UN: Thuluthi moja ya Warundi wanahitaji misaada ya kibinadamu
Feb 21, 2018 04:10Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesema mtu mmoja kwa kila raia watatu wa Burundi atahitaji misaada ya kibinadamu mwaka huu, hilo likiwa ni ongezeko la asilimia 20 ikilinganishwa na mwaka jana 2017.
-
Umoja wa Mataifa waonyesha matumaini ya kufikiwa makubaliano ya amani Sudan Kusini
Feb 16, 2018 04:15Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Sudan Kusini ameeleza matarajio yake juu ya kufikiwa makubaliano ya amani ya kuhitimisha machafuko nchini humo katika mazungumzo yanayoendelea hivi sasa mjini Addis Abab, Ethiopia.