Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • UN yaitaka serikali ya Kenya iheshimu uhuru wa vyombo vya habari

    UN yaitaka serikali ya Kenya iheshimu uhuru wa vyombo vya habari

    Feb 03, 2018 04:05

    Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Kenya kuheshimu agizo la mahakama lililoitaka ibatilishe hatua yake ya kuzifungia televisheni tatu kupeperushaji matangazo baada ya stesheni hizo kurusha moja kwa moja hafla ya kuapishwa kiongozi wa upinzani wa nchi hiyo Raila Odinga.

  • Naibu balozi wa Iran UN: Ukosefu wa usalama unaongeza umasikini

    Naibu balozi wa Iran UN: Ukosefu wa usalama unaongeza umasikini

    Feb 02, 2018 00:36

    Naibu balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, ukosefu wa usalama na amani unachangia kuongezeka umasikini duniani.

  • Wasiwasi wa UN kuhusu kurejeshwa kwa nguvu wakimbizi Waislamu wa Rohingya

    Wasiwasi wa UN kuhusu kurejeshwa kwa nguvu wakimbizi Waislamu wa Rohingya

    Jan 29, 2018 10:23

    Umoja wa Mataifa umesema una wasiwasi mkubwa na suala la kufukuzwa kutoka Bangladesh wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya wa Myanmar.

  • Guterres asema dunia haiwezi kuwa na amani bila kusuluhishwa migogoro ya Afrika

    Guterres asema dunia haiwezi kuwa na amani bila kusuluhishwa migogoro ya Afrika

    Jan 28, 2018 04:23

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitizia umuhimu wa kupatiwa ufumbuzi changamoto na migogoro inayozikumba nchi za bara Afrika kwa maslahi ya amani na maendeleo ya dunia.

  • UNRWA yazindua mfuko wa kimataifa baada ya Marekani kuipungizia misaada

    UNRWA yazindua mfuko wa kimataifa baada ya Marekani kuipungizia misaada

    Jan 23, 2018 04:24

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa UNRWA limezindua mfuko wa kimataifa utakaoisaidia taasisi hiyo kutekeleza majukumu yake baada ya Marekani kuipunguzia misaada.

  • Ripoti ya UN yataka askari wa kulinda amani watumie nguvu

    Ripoti ya UN yataka askari wa kulinda amani watumie nguvu

    Jan 23, 2018 04:07

    Ripoti ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa imetoa pendekezo kwa askari wa kulinda amani wa umoja huo kutumia 'nguvu' kuzima tishio dhidi yao wanapolazimika kufanya hivyo wakiwa katika operesheni zao.

  • Marekani yakosolewa kwa kuipunguzia msaada UNRWA

    Marekani yakosolewa kwa kuipunguzia msaada UNRWA

    Jan 17, 2018 11:33

    Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwashughulikia wakimbizi wa Kipalestina limekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuipunguzia msaada tasisi hiyo kwa zaidi ya asilimia 50.

  • Museveni aituhumu UN kuwa 'inalinda ugaidi' Kongo DR

    Museveni aituhumu UN kuwa 'inalinda ugaidi' Kongo DR

    Jan 17, 2018 11:14

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameibua tuhuma nzito dhidi ya Umoja wa Mataifa akidai kuwa chombo hicho cha kimataifa 'kinalinda ugaidi' mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • UN: Watu laki moja wanahitajia msaada Jamhuri ya Afrika ya Kati

    UN: Watu laki moja wanahitajia msaada Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jan 17, 2018 01:02

    Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema takriban watu laki moja wanahitajia msaada katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • UN: 75% ya wananchi wa Yemen wanahitajia misaada

    UN: 75% ya wananchi wa Yemen wanahitajia misaada

    Jan 16, 2018 11:16

    Umoja wa Mataifa umesema idadi ya raia wa Yemen wanaohitajia misaada imeongezeka na kufikia milioni 22.2, huku makali ya njaa yakiongeza masaibu ya Wayemen wanaokabiliwa na mashambulizi ya Saudi Arabia kwa miaka mitatu sasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS