-
Matusi ya Trump dhidi ya Waafrika yazidi kulaaniwa
Jan 13, 2018 04:19Mabalozi wa nchi 54 za Afrika katika Umoja wa Mataifa wamelaani vikali matusi na kejeli za rais wa Marekani dhidi ya Waafrika.
-
Umoja wa Mataifa watiwa wasiwasi na hali inavyoendelea nchini Tunisia
Jan 13, 2018 04:17Umoja wa Mataifa umesema umetiwa wasiwasi na idadi kubwa ya watu waliotiwa mbaroni nchini Tunisia.
-
Umoja wa Mataifa wataka kufanyika uchaguzi Libya mwaka huu
Jan 11, 2018 00:29Umoja wa Mataifa umesema uko tayari kuisaidia Libya katika maandalizi ya uchaguzi mkuu kufikia mwishoni mwa mwaka huu 2018.
-
UN yashtushwa na ukiukwaji wa haki za binadamu Imarati
Jan 10, 2018 12:32Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kutokana na kushtadi uvunjwaji wa haki za binadamu katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
-
UN yataka kufanyika uchunguzi kuhusu ghasia za karibuni nchini Kongo
Jan 10, 2018 04:08Umoja wa Mataifa umetaka kufanyika uchunguzi kuhusu ghasia zilizoikumba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwezi Disemba mwaka jana.
-
UN yalaani hatua ya Israel ya kuwafukuza wahajiri wa Kiafrika
Jan 10, 2018 01:06Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel kufuta mpango ulioanza kuutekeleza hivi karibuni wa kuwarejesha nchini kwao kwa nguvu makumi ya maelfu ya Waafrika walioingia katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo haramu.
-
UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya Yemen, yataka mashambulizi ya Saudia yasitishwe
Jan 07, 2018 09:39Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu ameeleza wasiwasi wake kuhusu hali mbaya ya watu wa Yemen.
-
Ansarullah: Mtazamo wa UN kuhusu Yemen ndio uliofelisha jitihada za kutafuta suluhu
Jan 06, 2018 23:13Mjumbe mwandamizi wa Baraza la Kisiasa la harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema, jitihada za kutafuta suluhu na kurejesha amani nchini humo hazitakuwa na faida yoyote ikiwa Umoja wa Mataifa hautabadilisha muelekeo wake wa kuushughulikia mgogoro wa nchi hiyo.
-
UN kuchunguza mauaji ya askari 15 wa Tanzania nchini Kongo DR
Jan 06, 2018 03:50Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema taasisi hiyo ya kimataifa itachunguza mauaji ya wanajeshi 15 wa kulinda amani raia wa Tanzania waliouawa mapema mwezi uliopita katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kuongezeka gharama za kijeshi ulimwenguni na kukinzana kwake na Malengo ya Milenia
Jan 04, 2018 23:00Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imesema katika ripoti yake kwamba, gharama za kijeshi ulimwenguni ziliongezeka kwa asilimia 46 katika kipindi cha miaka kumi kuanzia 2005 hadi 2015.