-
Rais wa UEFA: Kushiriki Israel na Ukraine mechi za EURO 2024 ni hatari kwa usalama
Jan 24, 2024 23:56Rais wa Muungano wa Mashirikisho ya Soka ya Ulaya (UEFA) amesema kushiriki Israel na Ukraine katika fainali zijazo za michuano ya EURO 2024 ni hatari kwa usalama.
-
Vita vya Ukraine vyaubebesha Umoja wa Ulaya zigo zito la madeni
Jan 24, 2024 03:26Umoja wa Ulaya umelazimika kubeba zigo zito la madeni kutokana na kuifuata kibubusa Marekani katika kuiunga mkono Ukraine kwenye vita na Russia.
-
Jihadul Islami: Vikwazo vipya vya EU vimechochewa kisiasa
Jan 20, 2024 03:50Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imeukosoa vikali Umoja wa Ulaya kwa kuwawekea vikwazo maafisa wa kundi hilo la muqawama pamoja na wenzao wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina(HAMAS).
-
Mkuu wa sera za kigeni wa EU: Ni muhimu kusitisha vita Gaza
Jan 14, 2024 04:09Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa ni muhimu kusitisha vita Ukanda wa Gaza. Josep Borrell ameeleza haya katika mazungumzo na viongozi wa ngazi ya juu wa nchi za Asia Magharibi walipojadili matukio ya karibuni huko Palestina.
-
Ombi la Italia la kuunda jeshi la Ulaya
Jan 08, 2024 22:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Antonio Tajani, amesema kwamba Umoja wa Ulaya unapaswa kuunda jeshi lake la pamoja ambalo linaweza kuwa na jukumu la kudumisha amani na kuzuia migogoro.
-
Balozi wa Iran: Ulaya ichukue hatua za maana kukomesha mauaji ya kimbari Gaza
Dec 25, 2023 07:12Balozi wa Iran nchini Iraq amesema nchi za Ulaya zinapasa kuchukua hatua za maana kwa ajili ya kukomesha jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kushindwa Umoja wa Ulaya kuchukua msimamo wa pamoja kuhusu mgogoro wa vita vya Gaza
Dec 16, 2023 08:03Mkutano wa siku mbili wa Baraza la Ulaya umemalizika huku viongozi wa nchi 27 za Ulaya wakishindwa kufikia makubaliano ya pamoja katika taarifa yao ya mwisho kuhusiana na jinsi ya kukabiliana na matukio ya Gaza.
-
Tehran yalaani vikwazo vya EU dhidi ya Wizara ya Ulinzi ya Iran
Dec 12, 2023 23:17Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekosoa vikali hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuiwekea vikwazo Wizara ya Ulinzi ya nchi hii kwa madai bandia kuwa Jamhuri ya Kiislamu imeipa Russia ndege zisizo na rubani (droni) eti kwa ajili ya kutumika vitani huko Ukraine.
-
Kuongezeka upinzani dhidi ya Umoja wa Ulaya katika nchi za bara hilo
Nov 27, 2023 22:54Baada ya ushindi wa Geert Wilders, mgombea wa mrengo wa kulia wa Uholanzi katika uchaguzi wa nchi hiyo na kupendekeza kwake suala la Uholanzi kujiondoa katika Umoja wa Ulaya, Marine Le Pen, kiongozi wa chama cha mrengo wa kulia cha National Rally cha Ufaransa, pia amesisitiza haya ya Ufaransa kujiondoa katika Umoja wa Ulaya akisema: 'Hatupingi Ulaya, tunapinga Umoja wa Ulaya na ni kwa sababu tunaipenda Ulaya, ndio maana tunaupinga Umoja huo.'
-
Ushindi wa mrengo wa kulia wenye misimamo mikali katika uchaguzi wa Uholanzi; kengele ya hatari kwa Ulaya
Nov 23, 2023 06:59Uchaguzi mkuu wa Uholanzi ulifanyika Jumatano, Novemba 22 nchini humo ili kubaini nani ataongoza serikali ijayo ambayo inapaswa kuchukua mamlaka nchini baada ya kuondoka Mark Rutte, ambaye amekuwa waziri mkuu kwa miaka 13.