-
EU yamtaka Hariri arejee Lebanon, yaionya Saudia dhidi ya uingiliaji wa masuala ya nchi hiyo
Nov 14, 2017 03:46Umoja wa Ulaya umemtaka Waziri Mkuu wa Lebanon aliyetangaza kujiuzulu hivi karibuni, Saad Hariri arejee katika nchi yake huku ukiitahadharisha Saudi Arabia dhidi ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Mwanga wa kuzidi kuimarika uhusiano wa Ulaya na Iran
Nov 13, 2017 09:12Is'haq Jahangiri, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza habari ya kuwekwa kwenye ajenda kuu suala la kufunguliwa ofisi ya Umoja wa Ulaya hapa mjini Tehran.
-
Umoja wa Ulaya kuhakikisha pande zote zinatekeleza mapatano ya nyuklia ya Iran
Nov 10, 2017 23:42Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa utahakikisha kuwa mapatano ya nyuklia ya mwaka 2015 baina ya Iran na madola sita makubwa duniani yanatekelezwa kikamilifu na pande husika.
-
Umoja wa Ulaya wazungumza na Tunisia kuhusu njia za kupambana na ugaidi
Oct 19, 2017 00:32Maafisa wa kupambana na ugaidi wa Umoja wa Ulaya wameitisha kikao na viongozi wa Tunisia kujadiliana njia za kupambana na ugaidi.
-
Umoja wa Ulaya wasisitiza utekelezwaji kikamilifu mapatano ya nyuklia ya Iran
Oct 17, 2017 04:36Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya Jumatatu baada ya kumalizika kikao chao mjini Luxembourg walitoa taarifa na kutuangaza kuunga mkono na kuendeleza ushirikiano kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA.
-
Ukosoaji mkali wa Venezuela dhidi ya Ulaya
Oct 15, 2017 07:45Viongozi wa serikali ya Venezuela wamekosoa vikali juhudi za Umoja wa Ulaya na Marekani za kutaka kuufanya uchaguzi wa kieneo nchini humo kutokuwa na itibari.
-
Nchi tano muhimu za Ulaya zampinga Trump kuhusu JCPOA
Oct 05, 2017 00:46Maafisa waandamizi wa nchi tano za Ulaya wamesisitiza kuwa nchi zao zitaendelea kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwani ni makubaliano ya kimataifa kama ambavyo wamesisitiza pia kuwa nchi zao zitaendelesha kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga tofauti.
-
"Sera kuu ya Iran ni kupambana na ugaidi, kutekeleza JCPOA na kuimarisha uhusiano na EU"
Oct 04, 2017 01:09Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inatoa kipaumbele kwa kadhia ya kupambana na ugaidi pamoja na kudumisha makubaliano ya kihistoria ya nyuklia yanayojulikana kama JCPOA.
-
Umoja wa Ulaya wapinga kura ya maoni ya Kurdistan na kusisitizia umoja wa ardhi nzima ya Iraq
Sep 27, 2017 06:24Umoja wa Ulaya umepinga chokochoko zilizofanywa na baadhi ya Wakurdi wa Iraq za kuitisha kura ya maoni ya kujitenga eneo la Kurdistan na ardhi nyingine ya nchi hiyo na umesisitizia wajibu wa kulindwa umoja wa ardhi nzima ya Iraq.
-
EU yaunga mkono kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya JCPOA
Sep 13, 2017 10:28Umoja wa Ulaya (EU) umeunga mkono kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).