-
Kushtadi hatua dhidi ya wahajiri, Ulaya Mashariki
Sep 03, 2017 06:41Katika hatua ya kutekeleza siasa zake dhidi ya uhajiri, serikali ya Hungary imeutaka Umoja wa Ulaya kulipa nusu ya gharama za kuanzishwa mzingiro wa kimpaka wa nchi hiyo kwa lengo la kuwazuia wahajiri kuingia nchini humo.
-
EU yasisitizia haja ya kuheshimiwa makubaliano ya JCPOA
Aug 29, 2017 02:58Kwa mara nyingine tena Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefungamana na ahadi zake kuhusiana na makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina yake na kundi la 5+1 yanayofahamika kama JCPOA na kusisitizia udharura wa kuheshimiwa hati hiyo.
-
EU yazitaka pande zote kuheshimu sheria nchini Kenya
Aug 11, 2017 11:23Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa unafuatilia kwa makini mwenendo wa uchaguzi wa hivi karibuni huko Kenya.
-
Nchi za Ulaya zaendelea kupinga vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia
Aug 10, 2017 23:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Sigmar Gabriel amesema kuhusu vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Russia kwamba, hatua mpya za Marekani za kutaka kuibana zaidi Russia zinaweza kusababisha matatizo katika umoja wa nchi za Magharibi kuhusu mgogoro wa Ukraine.
-
Oxfam yatahadharisha kuhusu madhara ya kuwazuia wahajiri kuingia Ulaya
Aug 09, 2017 22:31Shirika la kimataifa la misaada ya kibinadamu la Oxfam lenye makao yake mjini London limeutahadharisha Umoja wa Ulaya kuhusu hatua yake ya kuwazuia wahajiri wanaotoka Libya kuingia barani humo.
-
Kutekelezwa vikwazo mpya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia
Aug 06, 2017 23:14Umoja wa Ulaya umeanza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Russia kuhusiana na mzozo wa peninsula ya Crimea.
-
Suala la Brexit laendelea kuzusha mivutano na hitilafu katika serikali ya Uingereza
Jul 31, 2017 09:50Hitilafu kati ya mawaziri wa serikali ya Uingereza kuhusu suala la kujiondoa nchi hiyo katika Umoja wa Ulaya (Brexit) zimeendelea kutokota baada ya Waziri wa Biashara ya Kimataifa wa nchi hiyo kupinga wazo lililotolewa na Waziri wa Fedha kwamba kuna ulazima wa kuainisha kipindi cha mpito nchini humo.
-
Mkuu wa Sera za Nje wa EU: Quds ya Mashariki haitenganishiki na Palestina
Jul 29, 2017 03:22Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema Baitul Muqaddas Mashariki ni sehemu isiyotenganishika na Palestina.
-
EU haitatuma timu ya waangalizi wa uchaguzi nchini Angola
Jul 28, 2017 21:52Umoja wa Ulaya umefuta mpango wa kutuma timu ya waangalizi wake katika uchaguzi wa Angola unaofanyika mwezi ujao, baada ya serikali ya Luanda kutokubali baadhi ya masharti yake.
-
Japan: Suala la kuzunguza na Korea Kaskazini limepitwa na wakati
Jul 18, 2017 21:57Msemaji wa serikali ya Japan, Norio Maruyama ametaka kuzidishwa mashinikizo dhidi ya Korea Kaskazini akisema kuwa muda wa kufanya mazungumzo na nchi hiyo umepita.