-
Kamishna wa EU atahadharisha kuhusu mpango wa Israel wa kupanua mashambulizi yake huko Gaza
Aug 10, 2025 05:20Hadja Lahbib Kamishna wa Umoja wa Ulaya anayehusika na masuala ya usawa, maandalizi na ufuatiliaji wa migogoro ameeleza kuwa uamuzi wa utawala wa Israel wa kupanua mashambulizi yake ya kijeshi huko Gaza utashadidisha zaidi hali ya kibinadamu katika eneo hilo na kuhatarisha maisha ya mateka waliosalia.
-
Swali la Leo: Je, kauli ya Kaja Kallas Kwamba “Machaguo Yote Yako Mezani Dhidi ya Israel” ina mashiko yoyote?
Jul 24, 2025 07:20Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, amedai kuwa “mauaji ya raia wasio na hatia wa Kipalestina lazima yakome,” la sivyo, “Machaguo Yote Yatazingatiwa dhidi ya Israel.”
-
Iran, Troika ya Ulaya kuendelea na mazungumzo ya nyuklia wiki ijayo?
Jul 20, 2025 12:30Iran na Troika ya Ulaya - Ufaransa, Ujerumani, na Uingereza - zimeripotiwa kukubaliana msingi wa kuanza tena mazungumzo ya nyuklia wiki ijayo.
-
Sababu za India kupinga sera za kindumakuwili za EU ni zipi?
Jul 19, 2025 06:08Wizara ya Mambo ya Nje ya India imepinga vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia na kiwanda cha kusafisha mafuta cha India na pia "sera za kindumakuwili" za umoja huo katika uga wa biashara ya nishati.
-
Nini lengo la Umoja wa Ulaya katika kuzidisha vikwazo dhidi ya Iran?
Jul 16, 2025 23:05Umoja wa Ulaya, ukifuata nyayo za Marekani, umeendeleza siasa za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Iran katika nyanja mbalimbali katika muhula wa pili wa uongozi wa Donald Trump kwa shabaha ya kuilazimisha Tehran isalimu amri mbele ya matakwa ya kupindukia mipaka ya nchi za Magharibi.
-
Amnesty: EU kutositisha ushirikiano na Israel ni usaliti kwa taifa la Palestina
Jul 16, 2025 06:10Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema kushindwa kwa Umoja wa Ulaya kusimamisha makubaliano yake ya ushirikiano na utawala wa Israel ni usaliti wa kikatili kwa taifa la Palestina.
-
Ripota Maalumu wa UN aihimiza EU isimamishe ushirika wake na Israel
Jul 16, 2025 04:23Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na Maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu, Francesca Albanese, ameuhimiza Umoja wa Ulaya usitishe makubaliano ya ushirikiano na utawala wa kizayuni wa Israel, akisema EU ina wajibu wa kisheria wa kutekeleza sheria za kimataifa.
-
Trump ashadidisha vita vya kibiashara dhidi ya Mexico, EU
Jul 13, 2025 02:34Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kuziwekea bidhaa zinazoingia nchini humo kutoka Mexico na Umoja wa Ulaya ushuru wa asilimia 30 kuanzia Agosti Mosi.
-
Kwa nini mizozo ya madola ya Ulaya kuhusu jinsi ya kukabiliana na vita vya ushuru vya Trump imeongezeka?
Jul 08, 2025 09:59Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine tena ameibua vita vya kibiashara na ulimwengu kwa kutangaza kwamba, ataamua kiwango cha ushuru wa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje kwa kutuma barua kwa nchi 12 kuanzia Jumatatu ya jana, Julai 7.
-
EU kuchunguza uwezekano wa kuweka vikwazo dhidi ya Israel
Jul 05, 2025 23:46Umoja wa Ulaya unatazamiwa kuchunguza suala la kuweka vikwazo dhidi ya maafisa wa utawala ghasibu wa Israel na walowezi wa Kizayuni na kupiga marufuku uuzaji wa silaha kwa utawala huo kutokana na ukiukaji wa haki za binadamu.