-
Jibu thabiti la Araghchi kwa msimamo wa kimihemko wa Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya
Jul 04, 2025 23:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyid Abbas Araghchi ametoa jibu thabiti kwa kauli ya hivi majuzi ya Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, kwamba mazungumzo yoyote yale yatakayofanyika, lengo lake liwe ni "kufuta moja kwa moja mpango wa nyuklia wa Iran".
-
Iran: EU ikishinikiza turejeshewa vikwazo vya UN, tutajitoa NPT
Jun 11, 2025 23:23Iran imeonya kwamba, huenda ikatumia haki yake ya kisheria ya kujiondoa kwenye Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia (NPT) ikiwa mataifa ya Ulaya yataendelea na jaribio lisilo na msingi wa kisheria la kuamilisha mchakato wa kurejeshwa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Austria, nchi ya EU yashuhudia ongezeko la wasiojua kusoma, kuandika
Jun 01, 2025 03:35Karibu thuluthi moja ya watu nchini Austria wana uwezo mdogo wa kusoma, jambo linaloashiria ongezeko la kuogofya la watu wasiojua kusoma na kuandika nchini humo, ofisi ya takwimu za serikali ya nchi hiyo ya Umoja wa Ulaya imesema.
-
Trump aitishia EU kwa ushuru wa forodha wa 50%
May 24, 2025 03:21Rais wa Marekani Donald Trump amependekeza "ushuru wa moja kwa moja wa 50%" kwa nchi zote za Umoja wa Ulaya, akitaja nakisi ya biashara ya dola milioni 250 kila mwaka na umoja huo. Amependekeza kuwa kiwango hicho kipya cha ushuru kianze kutekelezwa Juni 1.
-
Umoja wa Ulaya kutazama upya mkataba wa ushirikiano wake na Israel
May 22, 2025 23:10Kufuatia kushadidi jinai za utawala wa kibaguzi wa Israel huko Gaza na kuibuliwa mzozo wa kibinadamu usio na mfano wake katika ukanda huo unaozingirwa, Umoja wa Ulaya umeanza kufanyia marekebisho makubwa mapatano ya biashara na ushirikiano kati yake na Israel.
-
Amnesty International yataka mataifa ya Ulaya yaisusie kikamilifu Israel
May 22, 2025 09:21Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limetoa wito wa kususiwa kabisa utawala wa Kizayuni wakati huu ambapo baadhi ya mataifa ya bara Ulayaa yanachukua hatua za kuutenga utawala huo kutokana na jinai zake huko Gaza.
-
Umoja wa Ulaya na juhudi za kupata washirika wapya wa kibiashara
May 06, 2025 22:49Vitendo vya Rais Donald Trump wa Marekani hususan kuanza kwa vita vya kibiashara na dunia ambavyo vimesababisha machafuko katika mfumo wa uchumi na biashara wa kimataifa, vimeufanya Umoja wa Ulaya kutaka kupanua na kuimarisha uhusiano wake na nchi za Bahari ya Pasifiki (Trans-Pacific).
-
Kremlin: Umoja wa Ulaya unataka vita, sio mazungumzo
Apr 24, 2025 23:16Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin), Dmitry Peskov amesema Umoja wa Ulaya umekuwa ukizuia juhudi za kidiplomasia za Washington na Moscow kwa ajili ya kumaliza mzozo wa Ukraine, na badala yake unafanya jitihada za kurefusha uhasama na mzozo huo.
-
Mgogoro unaoshadidi wa Chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya
Apr 13, 2025 23:02Baada ya kuanza vita vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Gaza, ripoti zinaonesha ongezeko la asilimia 140 ya uhalifu wa chuki dhidi ya Waislamu katika nchi za Ulaya, hasa Ujerumani — jambo ambalo limegeuka kuwa tishio kubwa kwa jamii za Ulaya.
-
Vita vya ushuru kati ya Marekani na China: Beijing kukabiliana na ubabe wa Washington
Apr 12, 2025 22:48Rais Xi Jin Ping wa China amesisitiza katika mazungumzo na Pedro Sanchez, Waziri Mku wa Uhispania ulazima wa kuimarisha ushirikiano kati ya China na Umoja wa Ulaya ili kukabiliana na hatua za upande moja za Marekani.