-
Iran: Mhimili wa Muqawama hauwezi kufutwa kwa silaha na kwa kuuawa shahidi viongozi wake
Jan 06, 2025 03:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameuelezea Mhimili wa Muqawama kuwa ni "Piganio Takatifu" lisiloweza kufutwa kwa silaha na kwa kuuawa shahidi viongozi wake.
-
Jumbe za kisiasa za matembezi ya makumi ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Husseini (as)
Sep 07, 2023 06:29Jana tarehe 20 Swafar 1445 Hijiria, sawa na tarehe 6 Septemba 2023 Miladia ilisadifiana na Arubaini ya Imam Hussein (as) mjukuu wa Mtume Mtukufu (saw) aliyeuawa kinyama na maadui wa Uislamu katika jangwa la Karbalaa, akiwa na familia pamoja na wafuasi wake wachache waaminifu. Vile vile ilikuwa siku ya mwisho ya matembezi ya makumi ya mamilioni ya watu katika kuadhimisha Arubaini ya mtukufu huyo (as).
-
Qalibaf: Siri ya ushindi wa Iran ya Kiislamu ni umoja baina ya Mashia na Masuni
Oct 09, 2022 08:10Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa siri ya ushindi wa nchi hii katika sekta mbalimbali ni kuwepo umoja baina ya Masuni na Mashia na kusisitiza kuwa, Waislamu wa Kisuni na pia wa Kishia waliifanya Iran kuwa imara zaidi na yenye nguvu wakati wa kujihami kutakatifu na katika matukio ya ndani kupitia umoja na dhamira yao thabiti.
-
Serikali ya Saudia yabomoa msikiti mwingine wa Waislamu wa Kishia
Apr 24, 2021 12:38Mabuldoza ya utawala wa Aal Saud yamebomoa msikiti mwingine ulioko kandokando ya mji wa Qatif ambao wakazi wake ni Waislamu wa madhehebu ya Shia mashariki ya Saudi Arabia.
-
Nukta kadhaa kuhusu safari ya Papa Francis huko Iraq
Mar 10, 2021 02:19Safari ya siku tatu ya Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani huko Iraq ambayo ilianza Ijumaa iliyopita imemalizika.
-
Utawala wa Bahrain wawakamata wanazuoni wa Kishia
Sep 08, 2019 02:35Utawala wa kiimla wa Bahrain umewakamata wanazuoni kadhaa wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia katika mwezi huu wa Muharram.
-
Utawala wa Bahrain unapanga mikakai ya kuwafuta kazi walimu wa Kishia
Aug 26, 2019 12:02Duru za habari nchini Bahrain zimeripoti kuwa, utawala wa Aal Khalifa nchini humo unapanga mikakati ya kuwatimua maelfu ya walimu Waislamu wa madhehebu ya Shia wa nchi hiyo.
-
Maulama wa Suni na Shia Lebanon wasisitizia mapambano dhidi ya ugaidi
Oct 21, 2017 16:24Maulama wa Kiislamu wa madhehebu za Shia na Suni nchini Lebanon wanesema kuwa kufeli mradi kabambe wa Marekani na Israel kupitia ugaidi, hakuna maana ya kumalizika kwa vita na wametoa wito wa kuendelezwa muqawama kwa ajili ya vita vya baadaye.
-
Usalama Iran unatokana na umoja wa Mashia na Masuni
Sep 02, 2017 02:28Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu Iran amesema usalama uliopo hivi sasa nchini umetokana na umoja na mshikamano uliopo baina ya Waislamu wa madhehebu za Shia na Suni.
-
Mtoto aaga dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi na askari wa Saudia
Aug 09, 2017 17:07Mtoto mmoja aliyekuwa amejeruhiwa kwa kupigwa risasi na askari wa Saudi Arabia katika mji wa Awamiyah wanapoishi Waislamu wa madhehebu ya Shia ameaga dunia.