Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Mbinu za Netanyahu za kutaka kupanua uhusiano wa Israel na nchi za Afrika

    Mbinu za Netanyahu za kutaka kupanua uhusiano wa Israel na nchi za Afrika

    Nov 29, 2017 11:00

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amefanya safari yake ya tatu barani Afrika katika mkakati wake wa kutaka kupanua uhusiano wa utawala huo haramu na nchi za bara hilo kwa kuitembelea Kenya kwa kisingizio cha kuhudhuria sherehe za kuapishwa rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta.

  • Umoja wa Ulaya walalamikia jinai za Israel

    Umoja wa Ulaya walalamikia jinai za Israel

    Nov 27, 2017 12:03

    Umoja wa Ulaya umeutaka utawala ghasibu wa Kizayuni ukomeshe kuvunja nyumba za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Guterres atahadharisha kuhusu hatua ya Israel ya kuendelea kukiuka anga ya Lebanon

    Guterres atahadharisha kuhusu hatua ya Israel ya kuendelea kukiuka anga ya Lebanon

    Nov 26, 2017 04:12

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu kuongezeka vitendo vya kukiuka anga ya Lebanon vinavyofanywa na ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mpango wa nyuklia wa utawala wa Israel ni hatari kwa usalama na amani duniani

    Mpango wa nyuklia wa utawala wa Israel ni hatari kwa usalama na amani duniani

    Nov 25, 2017 04:12

    Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, IAEA, amesema shughuli za nyuklia za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo kikuu cha wasiwasi wa mataifa ya eneo na jamii ya kimataifa.

  • Utawala wa Kizayuni wa Israel wakiri kuwa na uhusiano na Saudia

    Utawala wa Kizayuni wa Israel wakiri kuwa na uhusiano na Saudia

    Nov 20, 2017 04:10

    Waziri wa Nishati wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema, Israel na Saudi Arabia zimekuwa zikiwasiliana kwa siri kuizungumzia Iran.

  • Wazayuni waunda kikosi kipya cha polisi ili kuwakandamiza zaidi Waislamu

    Wazayuni waunda kikosi kipya cha polisi ili kuwakandamiza zaidi Waislamu

    Nov 02, 2017 00:41

    Waziri wa usalama wa ndani wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa amri ya kuundwa kikosi kingine maalumu kitakachowakandamiza Wapalestina katika Msikiti wa al Aqsa.

  • Kiongozi wa Mapinduzi: Mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel yadumishwe

    Kiongozi wa Mapinduzi: Mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel yadumishwe

    Nov 01, 2017 04:52

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe katika Mkutano wa Pili Muungano wa Kimataifa wa Maulama wa Muqawama unaofanyika huko Lebanon akiagiza kudumishwa mapambano ya aina mbalimbali dhidi ya utawala vamizi na wa Kizayuni wa Israel kwa wale wote wanaohisi kubeba dhima na wajibu huo mkubwa.

  • Mwakilishi wa UN ataka kususiwa Israel, Marekani yapinga

    Mwakilishi wa UN ataka kususiwa Israel, Marekani yapinga

    Oct 28, 2017 12:09

    Ofisi ya mwakilishi wa Mrekani katika Umoja wa Mataifa imekosoa msimamo wa Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Velayati: Mhimili wa muqawama unaendelea kuwa imara mbele ya njama za Uzayuni na Marekani

    Velayati: Mhimili wa muqawama unaendelea kuwa imara mbele ya njama za Uzayuni na Marekani

    Oct 25, 2017 23:08

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesisitiza kuwa mhimili wa muqawama unaendelea kuwa imara mbele ya njama na Uzayuni na Marekani na kukabiliana na hatua za pande hizo za kuzigawa na kuzidhoofisha nchi za eneo hili.

  • Walowezi wa Kizayuni wauhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa

    Walowezi wa Kizayuni wauhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa

    Oct 22, 2017 11:02

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa na kuvunjia heshima eneo hilo takatifu la Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS