-
Wazayuni wazidi kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu
Jul 06, 2017 03:12Katika mwezi uliopita wa Juni, utawala wa Kizayuni wa Israel uliyavunjia heshima mara 80 matukufu ya Kiislamu huko Palestina hususan Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu katika mji wa Quds na Haram na Nabii Ibrahim AS katika mji wa al Khalil
-
Israel: Kwa kuwa mahusiano na Saudia yameboreka sana, Riyadh imwalike Netanyahu
Jul 01, 2017 09:01Waziri wa Upelelezi na Intelejensia wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Yisrael Katz ametangaza habari ya kuboreka zaidi mahusiano ya kidiplomasia kati ya utawala huo na Saudi Arabia.
-
Dakta Larijani: Israel ni mama wa ugaidi duniani
Jun 23, 2017 23:10Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika kumbukumbu za karne za mwisho hakuna tukio baya kama la kuasisiwa utawala haramu wa Israel kwani kuanzishwa na kuundwa utawala huo kumepelekea kufanyika jinai ambazo hazijawahi kutokea katika historia.
-
Wizara ya Habari ya Palestina: Israel imeua zaidi ya watoto 3000 wa Kipalestina
Jun 23, 2017 00:05Wizara ya Habari ya Palestina imetangaza kuwa, utawala ghasibu wa Israel umeua zaidi ya watoto elfu tatu wa Kipalestina tangu ilipoanza Intifadha na mapambano ya Quds hapo mwaka 2000 hadi hivi sasa.
-
Israel: Mohammad Bin Salman amekuwa akikutana na viongozi wetu, ni chaguo letu
Jun 22, 2017 09:35Gazeti la utawala haramu wa Israel la Haaretz limepongeza kuteuliwa Mohammad Bin Salman Al Saud kuwa mrithi wa kiti cha ufalme nchini Saudia na kuongeza kuwa, kijana huyo ni mtu muhimu kwa utawala huo ghasibu.
-
Kuendelea radiamali ya asasi za UN kwa uingiliaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel
Jun 12, 2017 21:55Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina la Umoja wa Mataifa (UNRWA) limesisitiza kuwa, mamlaka ya asasi hiyo yako chini ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kwamba, hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuingilia utendaji wa taasisi hiyo.
-
Uhajiri wa kuihama Israel; jinamizi linalousokota utawala haramu wa Kizayuni
Jun 11, 2017 10:31Wizara ya Kuvutia Uhajiri ya utawala wa Kizayuni wa Israel, imeonyesha wasi wasi wake mkubwa juu ya kushadidi wimbi la uhajiri kutoka ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, linalohusisha Mayahudi hasa wenye asili ya Russia.
-
"Daesh na makundi mengine ya kitakfiri yameanzishwa na Marekani na Israel"
Jun 11, 2017 09:44Naibu Kamanda wa majeshi yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kundi la kigaidi la Daesh na makundi mengine ya kitakfiri yameanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel na yamekuwa yakitumiwa na tawala hizo kwa ajili ya kufikia malengo yao.
-
Hamas yakataa wito wa Shirika la Msalaba Mwekundu
Jun 10, 2017 23:55Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga wito uliotolewa na Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu la kutaka kujua hatima ya askari wawili wa Kizayuni waliotoweka katika enro la Ukanda wa Gaza.
-
Hasira za Israel baada ya Umoja wa Mataifa kuunga mkono kuundwa nchi huru ya Palestina
Jun 07, 2017 06:10Danny Danon Balozi wa Utawala wa Kizayuni katika Umoja wa Mataifa amekosoa vikali matamshi ya katibu mkuu wa umoja huo Antonio Gutterres ambaye ameunga mkono uundwaji nchi huru ya Palestina.