-
Umoja wa Ulaya, mshirika wa Israel katika kutenda jinai dhidi ya Wapalestina
Nov 22, 2016 03:51Wawakilishi wa zaidi ya wafanyakazi milioni tatu barani Ulaya wamelaani ushirikiano wa umoja huo na Israel katika kutenda jinai dhidi ya watu wanaoendelea kudhulumiwa wa Palestina.
-
Jeshi la Israel lazongwa na tatizo la kutoroka askari jeshini
Nov 17, 2016 11:39Makamanda wa jeshi la utawala ghasibu wa Israel wameeleza wasiwasi wao mkubwa kutokana na wimbi la kutoroka askari katika jeshi la nchi hiyo na mwenendo wa tabaka la vijana kuhepa suala la kutoa huduma jeshini.
-
Marufuku ya kuadhini katika misikiti ya Quds yaendelea kupingwa vikali
Nov 16, 2016 00:12Naibu wa kwanza wa Spika wa Bunge la Palestina amesema kinyume na nia ya adui Mzayuni sauti ya adhana itasikika katika ardhi zote za Palestina.
-
Jumuiya za haki za binadamu za Morocco zalalamikia kupeperushwa bendera ya utawala wa Kizayuni
Nov 09, 2016 23:31Jumuiya za Haki za Binadamu za nchini Morocco zimelalamikia kitendo cha kupeperushwa bendera ya utawala wa Kizayuni mahali kunakofanyika kikao cha kimataifa cha mabadiliko ya tabia nchi katia mji mkuu wa Morocco.
-
Viongozi wa Palestina wakutana Doha katika kikao nadra cha kutafuta umoja
Oct 28, 2016 10:34Rais Mahmoud Abbas wa mamlaka ya ndani ya Palestina ameshiriki katika mkutano nadra na viongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, mjini Doha, Qatar.
-
Ubaguzi; moja ya nguzo kuu za utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 27, 2016 02:10Utawala wa Kizayuni wa Israel ambao umejengeka juu ya siasa za kibaguzi na mauaji, mbali na kufanya ubaguzi dhidi ya Wapalestina umekuwa ukifanya vitendo kama hivyo dhidi ya raia wake jambo ambalo limeibua hasira na ghadhabu za Waisraeli.
-
UN: Makampuni ya Silaha ya Israel yanachochea vita Sudan Kusini
Oct 21, 2016 04:36Jopo la Umoja wa Mataifa limepata ushahidi wa kuwepo mitandao ya silaha yenye makazi Israel na Ulaya Mashariki ambao inachochea vita vinavyoendelea sasa huko Sudan Kusini.
-
Mivutano katika Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 17, 2016 23:41Hatua ya Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ya kung'ang'ania kuchukua mamlaka yote ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya utawala huo, imepelekea kuibuka wimbi jipya la hitilafu na mivutano katika baraza la mawaziri la utawala huo ghasibu.
-
Israel yataka kukata ushirikiano na kundi la haki za binadamu la Btselem
Oct 16, 2016 04:30Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni ametaka kukatwa ushirikiano kati ya utawala huo na kundi la kutetea haki za binadamu la Btselem.
-
VIDEO: Kama ulipitwa na video wakati Netanyahu alipoaibika; wakati mbunge Muislamu wa Uholanzi alipokataa kumpa mkono, ingia hapa kuiona
Oct 05, 2016 07:15Tunahan Kuzu, mbunge Muislamu wa chama cha DENK katika bunge la Uholanzi amekataa kumpa mkono Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakati wa safari rasmi aliyofanya kuitembelea nchi hiyo.