Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Israel yafanya njama za kuendeleza mzingiro wa kidhulma Ukanda wa Gaza

    Israel yafanya njama za kuendeleza mzingiro wa kidhulma Ukanda wa Gaza

    Oct 03, 2016 00:29

    Utawala wa Kizayuni wa Israel unajiandaa kuishambulia meli ya al Zaituna na vile vile kuwazua wanaharakati wa kimataifa kuwasili huko Ukanda wa Gaza.

  • Sisitizo la Wapalestina la kuendelea na muqawama

    Sisitizo la Wapalestina la kuendelea na muqawama

    Sep 29, 2016 10:07

    Kwa mara nyingine tena, Wapalestina wametumia mnasaba mwingine uliojitokeza kutangaza uungaji mkono wao kwa muqawama hadi watakapofanikisha malengo yote ya taifa lao. Mara hii wapalestina hao wamesisitiza uungaji mkono wao huo wakati wa maadhimisho ya mwaka wa 16 wa kukumbuka Intifadha ya al Aqsa.

  • Ripoti: MOSSAD iliunda makundi ya wanamgambo yaliyotisha na kuwashawishi Mayahudi kwenda Palestina

    Ripoti: MOSSAD iliunda makundi ya wanamgambo yaliyotisha na kuwashawishi Mayahudi kwenda Palestina

    Sep 29, 2016 01:07

    Ripoti zimefichua kuwa, Shirika la Kijasusi la Utawala wa Kizayuni MOSSAD, limetoa mafunzo ya kijeshi kwa Mayahudi wa Morocco kwa ajili ya kutekeleza ajenda mbalimbali za kijeshi, ndani ya kipindi cha katikati mwa karne iliyopita.

  • Wazayuni 40 wameangamizwa na zaidi ya 400 wamejeruhiwa tangu kuanza Intifadha ya Quds

    Wazayuni 40 wameangamizwa na zaidi ya 400 wamejeruhiwa tangu kuanza Intifadha ya Quds

    Sep 24, 2016 04:38

    Duru za Kizayuni zimetangaza kuwa tangu kuanza operesheni za muqawama wa Wapalestina sambamba na Intifadha ya Quds hadi sasa, wazayuni 40 wameuawa na wengine 458 wamejeruhiwa.

  • Wazayuni wakiri kwamba, uepo wa Israel katika ardhi za Palestina si halali

    Wazayuni wakiri kwamba, uepo wa Israel katika ardhi za Palestina si halali

    Sep 18, 2016 23:46

    Mwandishi mashuhuri wa Israel amekiri kuwa, utawala wa Kizayuni umepora ardhi za Palestina.

  • Waalgeria waandamana kulalamikia kuwekwa jina la Israel katika kitabu cha masomo

    Waalgeria waandamana kulalamikia kuwekwa jina la Israel katika kitabu cha masomo

    Sep 16, 2016 03:08

    Raia wa Algeria wamefanya maandmano kulalamikia hatua ya kuandikwa jina la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel mahala pa jina la Palestina katika kitabu cha kufundishia nchini humo.

  • Makundi ya Kizayuni yataka kuhitimishwa kukaliwa kwa mabavu Palestina

    Makundi ya Kizayuni yataka kuhitimishwa kukaliwa kwa mabavu Palestina

    Sep 07, 2016 23:31

    Makundi kadhaa ya Wazayuni yametaka kukomeshwa kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina.

  • Wapalestina wasisitiza kupandishwa kizimbani wazayuni waliotenda jinai

    Wapalestina wasisitiza kupandishwa kizimbani wazayuni waliotenda jinai

    Aug 28, 2016 03:11

    Wapalestina wameendelea kutoa wito wa kutaka wazayuni waliotenda jinai katika vita vya siku 50 dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza wapandishwe kizimbani kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).

  • Viongozi wa Palestina kufuatilia haki za Wapalestina waliowekwa kizuizini na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Viongozi wa Palestina kufuatilia haki za Wapalestina waliowekwa kizuizini na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Aug 27, 2016 03:19

    Waziri anayehusika na masuala ya Wapalestina walioko kizuizini kwenye jela za utawala wa Kizayuni ametangaza kuwa suala la watu hao litafuatiliwa kwa uzito mkubwa kwenye jumuiya za kimataifa.

  • Onyo la Wapalestina kwa utawala ghasibu wa Israel

    Onyo la Wapalestina kwa utawala ghasibu wa Israel

    Aug 24, 2016 02:00

    Kushadidi uvamizi na hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Ukanda wa Gaza katika siku za hivi karibuni, kumekabiliwa na radiamali mbalimbali za Wapalestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS