-
Utawala wa Kizayuni waendelea kuchimba mashimo kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa
Aug 21, 2016 23:26Msemaji wa Taasisi ya Waqfu na Turathi za Kiutamaduni ya Al-Aqsa amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kuchimba mashimo kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa.
-
Hizbullah ya Lebanon: Ugaidi wa kitakfiri ni mpango mbadala wa kukabiliana na muqawama
Aug 21, 2016 10:48Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, ugaidi wa kitakfiri ni mpango mbadala wa kuja kuchukua nafasi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika kukabiliana na muqawama na mapambano ya wananchi.
-
Hizbullah yatoa onyo kwa uchokozi mpya wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon
Aug 19, 2016 03:34Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imetoa taarifa ya kulaani uchokozi na chokochoko mpya za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mamlaka ya kujitawala ya Lebanon katika mashamba ya Shab'a.
-
Mwanajudo wa Misri akataa kumpa mkono Mzayuni
Aug 13, 2016 11:12Huwenda mwanamichezo wa judo raia wa Misri akaadhibiwa kwa kukataa kumpa mkono mpinzani wake raia wa utawala haramu wa Israel katika mashindano ya Olimpiki yanayoendelea huko Rio de Janeiro nchini Brazil.
-
Israel yamtia mbaroni mwakilishi wa UN Ukanda wa Ghaza
Aug 09, 2016 23:13Utawala wa Kizayuni umemtia mbaroni mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Ghaza kwa tuhuma za kuwa na ushirikiano na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas.
-
Kushadidi njama za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Quds
Aug 04, 2016 23:57Ripoti mbalimbali zinaonesha juu ya kuanza duru mpya ya njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kuwa na satua katika mji wa Quds.
-
Wazayuni watuhumiwa kuiba viungo vya miili ya Wapalestina
Jul 25, 2016 23:54Jeshi la Israel limetajwa kuwa linaiba viungo vya Wapalestina na kufanya mauaji ya kizazi.
-
McKinney: Israel inahusika na mashambulizi ya kigaidi Ulaya
Jul 25, 2016 12:36Mbunge wa zamani katika Kongresi ya Marekani amefichua nafasi ya utawala wa kizayuni wa Israel katika mashambulizi ya kigaidi yanayofanyika barani Ulaya.
-
Walowezi wa Kizayuni wauvamia tena Msikiti wa al-Aqswa
Jul 18, 2016 23:11Walowezi wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wameuvamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa huko Quds Tukufu Palestina.
-
Hamas: Facebook inahudumia malengo ya Wazayuni
Jul 16, 2016 02:16Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa mtandao wa kijamii wa Facebook unafuata siasa na sera za kiadui za utawala wa Kizayuni wa Israel.