-
Watoto zaidi ya elfu mbili Kipalestina wauliwa shahidi na Wazayuni
Jun 01, 2016 10:58Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewauwa shahidi kwa kuwapiga risasi watoto wa Kipalestina zaidi ya elfu mbili tangu kuanza Intifadha ya Masjidul Aqsa mwaka 2000.
-
Kuongezeka malalamiko ya kimataifa dhidi ya Israel
May 31, 2016 22:41Taasisi 16 za kimataifa kote ulimwenguni zimeandika barua zikilaani kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kumpiga marufuku ya kusafiri, Omar Barghouthi, mwasisi wa Harakati ya Kimataifa ya Kuisusia Israel BDS.
-
Tanzania kuendelea kuwa rafiki wa Palestina
May 10, 2016 23:47Gazeti moja la kila siku la nchini Tanzania limeandika makala changanuzi kuhusu historia ya uungaji mkono wa Tanzania kwa taifa madhlumu la Palestina.
-
Mwanamke atolewa akiwa hai katika vifusi baada ya kupita siku sita Nairobi
May 05, 2016 10:00Mwanamke mmoja ametolewa akiwa hai leo baada ya kupita siku sita tangu jengo moja kuporomoka katika mtaa wa Huruma mjini Nairobi Kenya.
-
Wapalestina wakumbuka ukatili wa Israel huko Deir Yassin
Apr 09, 2016 11:34Wapalestina leo wamekumbuka mwaka wa 68 wa mauaji ya raia 270 wa Kipalestina mikononi mwa kundi la kigaidi la Wazayuni kwenye mji wa Deir Yassin katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Juhudi za Israel za kuwahamishia Palestina inayokaliwa kwa mabavu mamia ya Mayahudi wa Ethiopia
Apr 08, 2016 23:28Utawala wa Kizayuni wa Israel una mpango wa kuwahamishia huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu mamia ya Mayahudi wa Ethiopia.
-
Hizbullah yaikosoa Saudia kwa kuanzisha uhusiano na Israel
Apr 07, 2016 22:41Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali hatua ya utawala wa Saudi Arabia ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Iran yakosoa nchi zenye silaha za nyuklia kwa kukiuka mpatano
Apr 06, 2016 03:10Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amebainisha wasiwasi wake kuhusu mchakato wa kuangamiza silaha za nyuklia duniani.
-
UN yapinga maonyesho ya kipropaganda ya Israel
Apr 03, 2016 23:08Umoja wa Mataifa umepinga maonyesho ya picha za kipropaganda za utawala wa Kizayuni wa Israel katika makao makuu ya umoja huo mjini New York.
-
Wazayuni wazuia kusomwa adhana katika Haram ya Nabii Ibrahim AS
Apr 03, 2016 03:01Wizara ya Wakfu ya Palestina imetangaza kuwa, mwezi uliopita wa Machi, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni walizuia mara chungu nzima kusomwa adhana katika Haram ya Nabii Ibrahim AS mjini Alkhalil.