Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Njama za Israel za kueneza ushawishi wake barani Afrika

    Njama za Israel za kueneza ushawishi wake barani Afrika

    Apr 01, 2016 12:27

    Gazeti la Kiingereza la Financial Times limetangaza habari kuhusu hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel za kujipenyeza na kupata waungaji mkono wapya barani Afrika, ili kuimarisha nafasi yake kimataifa.

  • Kukandamizwa Waislamu Marekani kunafanywa kwa uratibu wa serikali na Wazayuni

    Kukandamizwa Waislamu Marekani kunafanywa kwa uratibu wa serikali na Wazayuni

    Mar 30, 2016 11:30

    Imam wa Msikiti wa al-Islam mjini Washington, Marekani amesema serikali ya nchi hiyo na Wazayuni wana muelekeo wa pamoja na wanashrikiana katika kuwakandamiza Waislamu wa nchi hiyo.

  • Hamas yatunisha misuli yake Ukanda wa Gaza

    Hamas yatunisha misuli yake Ukanda wa Gaza

    Mar 23, 2016 21:42

    Wapiganaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas wamefanya mazoezi ya kijeshi katika eneo la Ukanda wa Gaza kwa shabaha ya kuzidisha utayarifu wao kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi ya aina yoyote ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Idadi ya wanajeshi wa Israel wenye matatizo ya kisaikolojia yaongezeka

    Idadi ya wanajeshi wa Israel wenye matatizo ya kisaikolojia yaongezeka

    Mar 23, 2016 21:29

    Duru za Kizayuni zimeripoti kuwa maradhi ya kisaikolojia yanazidi kuenea miongoni mwa wanajeshi wa utawala huo.

  • Hamas yalaani ukatili unaofanywa na Wazayuni

    Hamas yalaani ukatili unaofanywa na Wazayuni

    Mar 20, 2016 22:48

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali hatua ya Wazayuni wa Israel ya kuchoma moto nyumba ya shahidi pekee wa jinai ya kuchomwa moto nyumba na familia ya al Sa'ad Dawabsheh na kuteketezwa watu wa familia hiyo wakiwa hai.

  • Hamas: Tel Aviv inataka kupotosha watu kuhusu mapambano ya Intifadha

    Hamas: Tel Aviv inataka kupotosha watu kuhusu mapambano ya Intifadha

    Mar 14, 2016 04:03

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamasi imetangaza kuwa lengo la mashambulizi yaliyofanywa hivi karibuni na utawala wa Kizayuni wa Israel huko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza ni kuwafanya walimwengu wasitilie maanani na kuzingatia mapambano ya Intifadha ya Quds Tukufu.

  • Madaesh wasiopungua elfu mbili wamepatiwa matibabu na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Madaesh wasiopungua elfu mbili wamepatiwa matibabu na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Mar 13, 2016 00:00

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limekiri kuwa magaidi wasiopungua elfu mbili wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (IS) wa nchini Syria walipelekwa Israel kwa ajili ya kutibiwa.

  • Utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine wavunja makubaliano ya kusimamisha vita na Wapalestina

    Utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine wavunja makubaliano ya kusimamisha vita na Wapalestina

    Mar 12, 2016 11:54

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wamevunja makubaliano ya kusimamisha vita kati yao na Wapalestina kwa kuwashambulia kwa risasi wavuvi wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza.

  • Juhudi zisizo na matunda  za Israel za kusambaratisha Intifadha ya Quds

    Juhudi zisizo na matunda za Israel za kusambaratisha Intifadha ya Quds

    Mar 12, 2016 04:52

    Baada ya juhudi za Israel za kusambaratisha Intifadha ya Quds kushindwa, Kamati ya Usalama ya utawala huo ghasibu sasa imechukua maamuzi mapya yanayolenga kuikandamiza Intifadha hiyo.

  • Mwanamasumbwi wa Iran akataa kuzipiga na mwenzake wa Israel, aungana na Wapalestina

    Mwanamasumbwi wa Iran akataa kuzipiga na mwenzake wa Israel, aungana na Wapalestina

    Mar 10, 2016 22:44

    Mchezaji wa timu ya taifa ya ndondi ya Iran amekataa kupigana na nchezaji wa ndondi wa utawala haramu wa Israel katika mashindano ya kimataifa ya ndondi ya Njia ya Hariri yanayofanyika Baku nchini Azerbaijan akionyesha uungaji mkono wake kwa taifa linalodhulumiwa la Palestina

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS