Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Spika wa Iran: Ngano ya kwamba utawala wa Kizayuni haushindiki imebaki kuwa historia

    Spika wa Iran: Ngano ya kwamba utawala wa Kizayuni haushindiki imebaki kuwa historia

    Dec 19, 2023 09:44

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ngano ya kwamba utawala wa Kizayuni haushindiki imebaki kuwa historia na kusisitiza kuwa, uungaji mkono wote wa nchi za Magharibi na Marekani hautaweza kuuokoa na kuutoa utawala huo kwenye kinamasi ulichonasa ndani yake.

  • Duru za Yemen: Meli mbili zimeshambuliwa wakati zinaelekea bandari za utawala wa Kizayuni

    Duru za Yemen: Meli mbili zimeshambuliwa wakati zinaelekea bandari za utawala wa Kizayuni

    Dec 18, 2023 08:21

    Duru moja ya habari ya Yemen imeripoti kuwa limetokea shambulio la kombora lililolenga meli mbili zilizokuwa zikielekea bandari za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Ahmad Vahidi: Makundi ya kigaidi yanaungwa mkono na utawala wa Kizayuni

    Ahmad Vahidi: Makundi ya kigaidi yanaungwa mkono na utawala wa Kizayuni

    Dec 17, 2023 04:26

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema kuwa, makundi ya kigaidi yanayotaka kuvuruga amani, usalama na umoja wa wananchi wa mkoa wa Sistan na Baluchistan nchini Iran yanaungwa mkono na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Idadi ya mashahidi Gaza yakaribia watu 20,000

    Idadi ya mashahidi Gaza yakaribia watu 20,000

    Dec 17, 2023 04:18

    Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza ongezeko la idadi ya mashahidi na majeruhi katika mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kigaidi wa Israel katika Ukanda wa Gaza.

  • Wanajeshi 20 wa jeshi la kigaidi la Israel waangamizwa al-Shujaiya Gaza

    Wanajeshi 20 wa jeshi la kigaidi la Israel waangamizwa al-Shujaiya Gaza

    Dec 16, 2023 08:42

    Jeshl la kigaidi la Israel limekiri kuwa, wanajeshi wake 20 wameuawa katika kipindi cha wiki moja iliyopita katika mapigano kati yao na vikosi vya muqawama wa Palestina katika eneo la al-Shujaiya katika Ukanda wa Gaza.

  • Kushindwa Umoja wa Ulaya  kuchukua msimamo wa pamoja kuhusu mgogoro wa vita vya Gaza

    Kushindwa Umoja wa Ulaya kuchukua msimamo wa pamoja kuhusu mgogoro wa vita vya Gaza

    Dec 16, 2023 08:03

    Mkutano wa siku mbili wa Baraza la Ulaya umemalizika huku viongozi wa nchi 27 za Ulaya wakishindwa kufikia makubaliano ya pamoja katika taarifa yao ya mwisho kuhusiana na jinsi ya kukabiliana na matukio ya Gaza.

  • Kuangamizwa askari wengine 11 wa Kizayuni huko Gaza

    Kuangamizwa askari wengine 11 wa Kizayuni huko Gaza

    Dec 13, 2023 04:21

    Wanajeshi wengine 11 wa Kizayuni wameangamizwa katika vita vya wanamapambano wa Kipalestina, Hamasa katika Ukanda wa Gaza.

  • Kushadidi mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Palestina nchini Marekani

    Kushadidi mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Palestina nchini Marekani

    Dec 12, 2023 23:09

    Marekani ikiwa ni muungaji mkono mkuu wa utawala wa Kizayuni sio tu kwamba, imetoa uungaji mkono mkubwa wa kisiasa na kisilaha kwa utawala huo wakati wa vita vya Gaza, bali mfumo tawala wa Washington pia umeongeza mashinikizo dhidi ya waungaji mkono wa Wapalestina na wakosoaji wa jinai za utawala ghasibu wa Israel.

  • Wapalestina 200 wameuawa shahidi Gaza katika masaa kadhaa yaliyopita

    Wapalestina 200 wameuawa shahidi Gaza katika masaa kadhaa yaliyopita

    Dec 12, 2023 08:29

    Wizara ya Afya ya Palestina huko Gaza imetangaza kuwa Wapalestina zaidi ya 200 wameuawa shahidi huko katika Ukanda wa Gaza katika masaa kadhaa yaliyopita.

  • Asilimia 61 ya nyumba za raia Ukanda wa Gaza zimebomolewa

    Asilimia 61 ya nyumba za raia Ukanda wa Gaza zimebomolewa

    Dec 11, 2023 23:24

    Idara ya Habari ya Serikali ya Gaza imeripoti kwamba asilimia 61 ya nyumba za raia wa Kipalestina huko Ukanda wa Gaza zimebomolewa katika mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS