Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Wasiwasi wa Israeli kuhusu matukio mapya ya kimkakati katika Asia Magharibi

    Wasiwasi wa Israeli kuhusu matukio mapya ya kimkakati katika Asia Magharibi

    Apr 23, 2023 13:03

    Katika wiki za hivi karibuni, kumekuwapo matukio kadhaa ya kimkakati katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ambayo yameufanya utawala wa Kizayuni wa Israel uingiwe na wasiwasi na hofu kubwa.

  • Hizbullah: Ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran haikuaguka

    Hizbullah: Ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran haikuaguka

    Apr 22, 2023 09:03

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema: matukio ya hivi karibuni ya Palestina na eneo na milingano uliolazimishwa kuwepo na Muqawama vimezima ndoto ya Netanyahu ya kuanzisha muungano dhidi ya Iran.

  • Sheikh Kazem Seddiqi: Marekani imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa Israel

    Sheikh Kazem Seddiqi: Marekani imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa Israel

    Apr 21, 2023 08:13

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, licha ya Marekani kuwa na mfungamano wote na utawala haramu wa Israel lakini imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa utawala huo, na hilo ni ishara ya kutokuwa na uwezo.

  • Qatar na Iran zasisitiza uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina

    Qatar na Iran zasisitiza uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina

    Apr 21, 2023 07:47

    Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuimarisha zaidi uhusiano na majirani ni katikia sera za kigeni za Tehran zinazopewa kipaumbele.

  • Je, kuanguka ndege isiyo na rubani ya Israel nchini Syria kumetokana na sababu za kiufundi?

    Je, kuanguka ndege isiyo na rubani ya Israel nchini Syria kumetokana na sababu za kiufundi?

    Apr 21, 2023 04:28

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umetangaza kuanguka kwa moja ya ndege zake zisizo na rubani wakati wa uvamizi wa anga ya Syria.

  • Vijana wa Kizayuni wakataa kuhudumu jeshini Israel

    Vijana wa Kizayuni wakataa kuhudumu jeshini Israel

    Apr 20, 2023 08:02

    Vijana wa Kizayuni wameripotiwa kuzichoma moto barua wanazotumiwa kwa ajili ya kufanya kazi katika jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Meja Jenerali Mzayuni: Nguvu ya Iran dhidi ya Israel imeongezeka mara mia kadhaa; tunahofia jibu la Iran

    Meja Jenerali Mzayuni: Nguvu ya Iran dhidi ya Israel imeongezeka mara mia kadhaa; tunahofia jibu la Iran

    Apr 19, 2023 23:34

    Meja Jenerali katika jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa Tel Aviv haina uwezo wa kukabiliana kijeshi na miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani na kusema: Nguvu ya Iran dhidi ya utawala wa Israel imeongezeka mara mia kadhaa. Amesema, hujuma yoyote dhidi ya Iran itapelekea kuangamizwa kikamilifu utawala huo.

  • Kitivo cha utafiti cha Kizayuni: Israel ni jamii iliyosambaratika

    Kitivo cha utafiti cha Kizayuni: Israel ni jamii iliyosambaratika

    Apr 19, 2023 02:24

    Kitivo cha utafiti za Kizayuni cha masuala ya kimkakati na Kiusalama cha Baitul Muqaddas (Jerusalem) kinaitakidi kuwa, jamii ya Israel ni jamii iliyogawanyika na iliyoporomoka, na shaka na wasiwasi kuhusu misingi yake ya kimkakati unazidi kuongezeka siku baada ya siku.

  • Waziri wa Kizayuni: Iran inaendesha ‘vita vya pande kadhaa vya kudhoofisha’ dhidi ya Israel

    Waziri wa Kizayuni: Iran inaendesha ‘vita vya pande kadhaa vya kudhoofisha’ dhidi ya Israel

    Apr 17, 2023 07:08

    Waziri wa vita wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema Iran inapigana dhidi ya utawala huo katika pande zote, huku kukiwepo na tahadhari zinazotolewa kuhusu uwezekano mkubwa wa kutokea vita vikubwa baada ya mageuzi tata ya kimahakama ya waziri mkuu wa utawala huo wa Kizayuni Benjamin Netanyahu kuzusha mgogoro wa ndani.

  • Raisi: Nchi za Kiislamu ziunde kambi moja iliyoshikamana ili kuzuia vitendo vya kinyama vya Wazayuni

    Raisi: Nchi za Kiislamu ziunde kambi moja iliyoshikamana ili kuzuia vitendo vya kinyama vya Wazayuni

    Apr 13, 2023 23:30

    Rais Ebrahim Raisi amesema katika mazungumzo aliyofanya kwa njia ya simu na Waziri Mkuu wa Pakistan kwamba, nchi za Kiislamu zinapaswa kuunda kambi moja iliyoshikamana ili kuzuia kuendelea vitendo vya kinyama vya Wazayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS