-
Palestina yaiomba mahakama ya ICC kumkamata Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni
Mar 21, 2023 03:01Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kutoa hati ya kukamatwa Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na matamshi yake dhidi ya Palestina.
-
Netanyahu ataka waandamanaji wakandamizwe na jeshi linalokaidi amri zake lichukuliwe hatua
Mar 20, 2023 22:57Duru za lugha ya Kiibrania zimetangaza kuwa, Benjamini Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel ametoa wito wa kukandamizwa uasi wa jeshi la utawala huo haramu na kuchukuliwa hatua kali na thabiti zaidi dhidi ya waandamanaji wanaopinga serikali yake.
-
Ombi la OIC la kutaka Palestina ikubaliwe kuwa mwanachama kamili na rasmi wa Umoja wa Mataifa
Mar 20, 2023 06:59Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imetaka yatolewe mashinikizo ili kuhakikisha Palestina inakubaliwa kuwa mwanachama rasmi wa Umoja wa Mataifa.
-
Vikosi maalumu vya Israel: Hatutahudumu katika jeshi kuanzia Jumapili
Mar 17, 2023 03:24Maafisa 100 wa Kikosi cha Akiba cha Oparesheni Maalumu cha utawala wa Kizayuni wa Israel wametangaza kuwa, hawatahudumu jeshini kuanzia Jumapili ijayo wakilalamikia uamuzi wa serikali ya utawala huo wa kubadili muundo wa sheria za mahakama.
-
Mauritania yakanusha kiuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni
Mar 15, 2023 07:36Serikali ya Mauritania imekanusha madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa inafanya nao mashauriano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia.
-
Barghouthi: Hitilafu zinazoizonga Israel zinadhihirisha kiwango cha ufashisti na ubaguzi wa utawala huo
Mar 13, 2023 22:38Katibu Mkuu wa Harakati ya Ubunifu wa Kitaifa ya Palestina amesisitiza namna hitilafu na migawanyiko inayoikabili Israel sasa inavyodhihirisha kwa walimwengu kiwango cha ufashisti na ubaguzi wa utawala huo ghasibu na kueleza kuwa muqawama wa Palestina unaweza kustafidi na fursa ya mfarakano huu unaoukabili utawala wa Kizayuni.
-
Rais wa Palestina: Walimwengu chukueni hatua za kuzuia ugaidi wa Israel
Mar 07, 2023 22:53Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameitaka jamii ya kimataifa kukomesha ugaidi wa Israel na kufanya juhudi za kuhitimisha uvamizi na ukaliaji ardhi kwa mabavu unaofanywa na utawala huo wa Kizayuni.
-
Waziri mwenye itikadi kali wa Israel aamuru kubomolewa nyumba za Wapalestina mwezi wa Ramadhani
Mar 06, 2023 23:04Waziri mwenye misimamo ya kupindukia mipaka wa usalama wa ndani wa utawala wa haramu wa Israel ametoa amri ya kuharibiwa nyumba za wananchi wa Palestina katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Walowezi wa Kizayuni waendeleza vitendo vya kuuvamia msikiti wa al-Aqswa
Mar 06, 2023 04:04Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Iran yauonya utawala wa Kizayuni kwa bwabwaja zake, yasema umekiuka sheria za kimataifa
Mar 03, 2023 23:26Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa, Amir Saeid Iravani, amesema bwabwaja za hivi karibuni za maafisa wa Israel ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.