-
Polisi ya Uturuki yawatawanya waandamanaji wanaopinga uvamizi wa nchi hiyo huko Syria
Jan 22, 2018 04:14Polisi ya Uturuki imetumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji waliomiminika barabarani kupinga uvamizi wa jeshi la nchi hiyo katika mji wa Afrin, kaskazini mwa Syria.
-
Rais Assad aishukuru Iran kwa msaada wake kwa Syria
Jan 21, 2018 23:33Rais wa Syria ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa uungaji mkono wake kwa taifa la Syria na kusema: "Istikama ya wanajeshi Wairani na waitifaki wao katika medani ya vita ni jambo ambalo limetoa mchango mkubwa katika ushindi wa jeshi na taifa la Syria."
-
Iran, Russia, Uturuki zakutana kujadili kadhia ya Syria
Jan 20, 2018 12:12Msaidizi wa ngazi za juu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala maalumu ya kisiasa, mwakilishi maalumu wa Rais wa Russia katika masuala ya Syria na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki wamekutana leo mjini Sochi, Russia kuzungumzia utatuzi wa mgogoro wa Syria.
-
Njama za kuvuruga muungano wa vita dhidi ya ugaidi wa Iran, Russia na Uturuki
Jan 13, 2018 04:09Nchi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki zina muungano ambao si tu kuwa umeweza kufanikiwa katika medani ya vita dhidi ya ugaidi, bali pia katika mazungumzo ya kidiplomasia, muungano huo umeweza kuibua mabadiliko katika masuala yanayohusiana na tatizo la ugaidi.
-
Uturuki yawaonya raia wake dhidi ya kusafiri Marekani, kisa usalama
Jan 13, 2018 00:15Uturuki imewapa tahadhari raia wake dhidi ya kusafiri nchini Marekani kutokana na kile inachokitaja kuwa sababu za kiusalama.
-
Uturuki: Fitina ya kuigawa Kurdistan na Iraq, imesambaratishwa na Ankara, Tehran na Baghdad
Jan 12, 2018 04:18Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki, Süleyman Soylu amesema kuwa, fitina iliyokuwa imeratibiwa na baadhi ya madola yenye nguvu kwa ajili ya kuligawa eneo la Kurdistan na Iraq, imesambaratishwa kwa ushirikiano chanya wa Ankara, Tehran na Baghdad.
-
Erdoğan: Tutakabiliana na Marekani baada ya kukataa kumrejesha Gülen
Jan 12, 2018 01:03Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametishia kwamba, ikiwa Marekani itaendelea kukataa ombi la Ankara la kumrejesha nyumbani Fethullah Gülen ambaye anatafutwa na Uturuki, basi nchi hiyo nayo italazimika kuchukua hatua za kukabiliana na Washington.
-
Erdogan: Uturuki imechoka kusubiri kujumuishwa EU
Jan 06, 2018 04:13Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema Waturuki wamechoka kusubiri kujua iwapo nchi yao itajumuishwa kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya au la.
-
Rais Erdoğan azionya Marekani na Israel kuhusiana na kadhia ya Quds
Dec 31, 2017 00:01Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amezionya serikali ya Marekani na utawala wa Kizayuni juu ya hatua zao za kuchukua maamuzi dhidi ya mji wa Quds (Jerusalem).
-
Radiamali ya Cairo kwa hatua ya Uturuki ya kukurubia mipaka ya Misri
Dec 29, 2017 01:00Afisa wa zamani katika jeshi la Misri amesema kuwa Cairo iko tayari kujibu tishio kuhusu hatua ya Sudan ya kuipatia Uturuki kisiwa cha Suakin.