-
Ukosoaji mkali wa Venezuela dhidi ya Ulaya
Oct 15, 2017 07:45Viongozi wa serikali ya Venezuela wamekosoa vikali juhudi za Umoja wa Ulaya na Marekani za kutaka kuufanya uchaguzi wa kieneo nchini humo kutokuwa na itibari.
-
Rais wa Venezuela amkejeli Trump, asema amemfanya mashuhuri
Oct 09, 2017 04:34Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametumia kinaya kumkejeli Donald Trump na kusema kuwa rais huyo wa Marekani amemfanya awe shakhsia maarufu duniani.
-
Venezuela: Marekani inafanya 'ugaidi wa kisaikolojia' dhidi yetu
Sep 26, 2017 04:12Venezuela imesema Marekani inaendeleza kile ilichokitaja 'ugaidi wa kisaikolojia' dhidi ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini.
-
Rais Evo Morales: Rais Donald Trump wa Marekani ameipigia magoti serikali ya Venezuela
Sep 18, 2017 02:56Rais Evo Morales wa Bolivia amesema kuwa, hatimaye Marekani imepiga magoti na kusalimu amri mbele ya serikali ya Venezuela kwa kukubali kufanyika mazungumzo ya kitaifa ya nchi hiyo.
-
Venezuela yajibu mapigo baada ya vitisho vya uingiliaji kijeshi wa Trump
Aug 15, 2017 03:05Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ameliagiza jeshi la nchi hiyo kufanya luteka ya nchi nzima ikiwa ni radiamali kwa vitisho vilivyotolewa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani aliyesema kuwa chaguo la kuishambulia kijeshi nchi hiyo lipo mezani.
-
Qassemi: Zama za kutumia vitisho vya kijeshi zimepita
Aug 14, 2017 04:22Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vitisho vya kutumia nguvu za jeshi vilivyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Venezuela na kusisitiza kuwa uzoefu unaonesha kuwa, zama za kutumia vitisho vya kijeshi na mashinikizo dhidi ya nchi huru na zinazojitawala kwa ajili ya kuzilazimisha zikubali matakwa yasiyo ya kimantiki na haramu zimemalizika.
-
Maduro: CIA inashirikiana na Mexico, Colombia dhidi ya Venezuela
Jul 25, 2017 09:43Rais wa Venezuela amesema Shirika la Kijasusi la Marekani CIA linashirikiana na Mexico na Colombia katika njama ya kuipindua serikali halali ya Caracas.
-
Uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela na indhari ya Caracas dhidi ya Washington
Feb 22, 2017 09:08Katika hatua inayohesabiwa kuwa ni uingiliaji wa serikali mpya ya Marekani dhidi ya Venezuela, Rais Donald Trump wa nchi hiyo amekutana na mke wa Leopoldo López, kiongozi mkuu wa upinzani anayezuiliwa katika jela nchini Venezuela.
-
Makamu wa Rais wa Venezuela: US imeniwekea vikwazo kwa kupinga ubeberu
Feb 14, 2017 22:03Makamu wa Rais wa Venezuela, Tareck El Aissami amekosoa vikali hatua ya Marekani kumuwekea vikwazo eti kwa madai ya kuhusika na ulanguzi wa mihadarati.
-
Rouhani: NAM iungane dhidi ya misimamo mikali ya upande mmoja
Feb 09, 2017 04:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kuwepo ushirikiano zaidi baina ya nchi wananchama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM, akisisitiza kuwa mataifa huru yanafaa kuungana dhidi ya madola yenye kupenda kutoa maamuzi ya upande mmoja na misimamo ya kuchupa mipaka.