-
Iran: Urutubishaji urani 'haujadiliki', mazungumzo chini ya mashinikizo hayatakuwa na tija
Apr 16, 2025 12:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema urutubishaji wa madini ya urani ukiwa ni sehemu ya mpango wa amani wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu "haujadiliki" na kwamba mazungumzo ya Tehran na Washington hayatazaa matunda ikiwa yatafanyika kwa mashinikizo na bila ya pande mbil kuheshimiana.
-
Marandi: Iran haitakubali mianya na utata kuhusiana na mazungumzo ya Vienna
Sep 06, 2022 07:57Mshauri wa timu ya Iran katika mazungumzo ya Vienna amesisitiza kuwa Iran haitakubali mianya na utata kuhusiana na mazungumzo hayo.
-
Duru ya sasa ya mazungumzo ya Vienna yamalizika, ujumbe wa Iran warejea Tehran
Aug 09, 2022 02:55Ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo umerejea nchini baada ya kumalizika duru ya sasa ya mazungumzo hayo yaliyofanyika mjini Vienna.
-
Iran yaikosoa Marekani kwa kuibua masharti mapya ya kuondoa vikwazo
Apr 11, 2022 02:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imeibua masharti mapya inayotaka Tehran itekeleze ili iondolewe vikwazo sanjari na kuhuishwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ya mwaka 2015.
-
Iran haiwezi kusalimu amri mbele ya kujitakia makuu Marekani
Apr 05, 2022 02:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu katu haiwezi kusalimu amri mkabala wa uchu, tamaa na kujitakia makuu Marekani.
-
Makubaliano ya Vienna hayataifanya Iran iache kufuatilia faili la mauaji ya Soleimani
Mar 20, 2022 07:43Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu la Idara ya Mahakama ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitaacha kuwafuatilia wahusika wa mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), kwa sababu ya makubaliano ya mazungumzo ya Vienna.
-
Iran yaikosoa Marekani kwa kuibua maudhui mpya katika mazungumzo ya Vienna
Mar 13, 2022 07:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameijia juu Marekani kwa kuibua maudhui nyingine mpya kwenye mazungumzo ya Vienna kati ya Jamhuri ya Kiislamu na kundi la 4+1, ambayo lengo lake kuu ni kuondolewa Tehran vikwazo vya kidhalimu.
-
Amir-Abdollahian: Mazungumzo ya Vienna yatafanikiwa iwapo nchi za Magharibi zaitabadilisha msimamo
Feb 27, 2022 04:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya na kusema baadhi ya masuala muhimu yaliyosalia katika mazungumzo ya Vienna ya kuondolewa Iran vikwazo yanaweza kutatuliwa.
-
Iran: Madola ya Ulaya yanapaswa kuvuka mstari wa Marekani wa kutotekeleza ahadi
Feb 07, 2022 12:52Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madola ya Ulaya yanapaswa kuvuka mstari wa Marekani wa kutotekeleza ahadi na kueleza kwamba, Tehran inasubiri kuona mabadiliko kivitendo katika mwenenendo wa Washington.
-
Mazungumzo ya Vienna; ufunguo wa makubaliano yoyote ni kuondolewa vikwazo vya kidhalimu dhidi ya taifa la Iran
Jan 27, 2022 02:35Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Ebrahim Raisi ameeleza kuwa, ufunguo wa mapatano yoyote ya kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA ni kuondolewa vikwazo vya kidhalimu dhidi ya wananchi wa Iran.