-
Iran: Korea Kusini lazima itulipe deni letu
Jan 07, 2022 03:34Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa na kiongozi wa ujumbe wa Iran katika mazungumzo ya Vienna amesema Korea Kusini haina chaguo jingine isipokuwa kutekeleza wajibu wake na kuilipa Jamhuri ya Kiislamu deni lake.
-
Iran: Inawezekana kufikia makubaliano mazuri katika mazungumzo ya Vienna
Dec 29, 2021 04:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza matumaini yake ya kufikiwa mapatano ya kuridhisha katika mazungumzo ya nyuklia ya Iran na kundi la 4+1 linaloundwa na mataifa ya Russia, China, Uingereza, Ufaransa pamoja Ujerumani yanayoendelea huko Vienna, Austria.
-
Mazungumzo ya Vienna: Njia pekee ya kunusuru mapatano ya JCPOA ni kuondoa vikwazo vyote
Apr 10, 2021 11:10Kikao cha Pili cha Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA kimemalizika huko Vienna na pande mbili ziimeafikiana kuendeleza mazungumzo hayo mahsusi kwa lengo la kuandaa faharasa ya hatua zinazopaswa kuchukuliwa kuodoa vikwazo na pia kujadili miradi ya nyuklia ya Iran kwa lengo la kuhuisha mapatano hayo.
-
Ulyanov: Mafanikio ya awali yamepatikana katika kikao cha Vienna
Apr 10, 2021 02:36Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna amesema kuwa kumepatikana mafanikio ya awali katika kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA katika mji mkuu wa Austria.
-
Kikao cha pamoja cha JCPOA; matarajio ya kundi la 4+1 na matumaini ya Iran
Apr 08, 2021 08:07Kikao cha 18 cha Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA kilifanyika juzi Jumanne huko Vienna mji mkuu wa Austria kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa kundi la 4+1 na pia Iran. Nchi wanachama wa mapatano ya JCPOA baada ya majadiliano na kuchunguza mapatano hayo zimekubaliana kuendeleza mashauriano katika ngazi ya kitaalamu ili kuiondolea Iran vikwazo.
-
Iran yaonya kuhusu bidaa zisizo na msingi katika wakala wa IAEA
Mar 04, 2020 11:56Kazem Gharib Abadi, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika asasi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna Austria amejibu ripoti mpya ya wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na kusema kuwa, Tehran imo mbioni kuzuia uanzishwaji wa bidaa zisizo na msingi na hatari katika wakala huo.
-
Salehi: Iran haitalegeza msimamo katika kulinda usalama wake
Feb 11, 2020 04:44Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran amehutubu katika Kikao cha Kila Miaka Miwili cha Usalama wa Nyuklia mjini Vienna, Austria na kusema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitalegeza msimamo katika kulinda usalama wake.
-
Araqchi: Kikao cha kamisheni ya JCPOA kimekuwa na mafanikio
Jul 29, 2019 04:22Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa kikao cha kamisheni ya pamoja ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kilichofanyika jana mjini Vienna kimemalizika kwa mafanikio japo hatuwezi kusema kuwa mambo yote yametatuliwa.
-
Kikao cha kamisheni ya pamoja ya JCPOA chaanza kufanyika Vienna, Austria
Jul 28, 2019 12:23Kikao cha kamisheni ya pamoja ya makubaliano ya nyuklia JCPOA cha Manaibu Mawaziri na Wakurugenzi wa Kisiasa wa Iran na kundi la 4+1 pamoja na mwakilishi wa Umoja wa Ulaya kimeanza leo huko Vienna mji mkuu wa Austria.
-
Tume ya pamoja ya JCPOA: Kuondolewa vikwazo, ni sehemu ya makubaliano na Iran
Mar 07, 2019 07:08Tume ya Pamoja ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA imetoa taarifa mwishoni mwa kikao cha 11 mjini Vienna, Austria ikisema kuwa kuondolewa vikwazo ambavyo vinaweza kuboresha uhusiano wa kibiashara na kiuchumi na nchi hii, ni sehemu ya uhai wa mapatano hayo.