-
Wanajeshi zaidi ya elfu 4 wa Uingereza watoroka jeshini
Oct 19, 2024 03:04Bunge la Uingereza limetangaza kuwa zaidi ya wanajeshi 4,400 wamejiuzulu katika jeshi la nchi hiyo.
-
Kikao cha viongozi wa Ufaransa na kundi la nchi tano za Sahel
Jul 11, 2021 08:22Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameonana na wakuu wa nchi tano za eneo la Sahel ya Afrika ambazo ni Chad, Mali, Burkina Faso, Mauritania na Niger. Ingawa kikao hicho kimefanyika kwa njia ya Intaneti, lakini Rais Mohammad Bazoum wa Niger yeye ameshiriki kikao hicho akiwa ziarani nchini Ufaransa.
-
Msimamo wa kukinzana wa Marekani kuhusu mgogoro wa nyuklia wa Korea
Aug 28, 2020 10:12Takriban ni miongo 7 sasa ambapo Marekani ina wanajeshi wake katika Rasi ya Korea. Licha ya kufanyika mazungumzo mara kadhaa baina ya viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini kuhusu kupokonywa silaha za nyuklia Pyongyang lakini mgogoro wa Korea mbili bado uko vile vile. Si hayo tu lakini rais wa Marekani, Donald Trump hivi sasa anataka kupunguzwa idadi ya wanajeshi wa nchi hiyo huko Korea Kusini, suala ambalo limezusha mzozo mpya.
-
Kutumwa askari wa Marekani nchini Saudia, hatua mpya ya kuzidisha mvutano katika eneo
Jul 21, 2019 11:52Hatua za kichochezi za serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani katika eneo, hususan ya kuongeza uwezo na harakati zake za kijeshi katika eneo la Ghuba ya Uajemi, imekabiliwa na radiamali kali na athirifu ya Iran.
-
Nchi za mashariki mwa Afrika zaunda kikosi cha pamoja cha kijeshi
Apr 13, 2017 07:20Nchi 10 za mashariki mwa Afrika zimeunda kikosi cha pamoja cha kijeshi kitakachofahamika kama East Africa Standby Force (EASF).
-
Barrow: Vikosi vya kieneo kusalia Gambia kwa miezi mitatu zaidi
Feb 09, 2017 07:23Vikosi vya kieneo vya mgharibi mwa Afrika vilivyotumwa nchini Gambia kuhakikisha usalama katika mchakato wa kushika madaraka serikali mpya ya nchi hiyo, vitasalia nchini humo kwa muda wa miezi mitatu zaidi.
-
Burundi yaanza kuondoa askari wake wa kulinda amani Somalia
Jan 17, 2017 04:32Serikali ya Burundi imeanza kuwaondoa wanajeshi wake wanaohudumu katika Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia Amisom kutokana na mgogoro wa mshahara.
-
Ecowas: Ikibidi, tutatuma askari wa kieneo nchini Gambia Januari
Dec 24, 2016 04:50Viongozi wa wawakilishi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) wametishia kutuma vikosi vya kieneo nchini Gambia, iwapo Rais Yahya Jammeh atakaa kukabidhi madaraka wakati muda wake utakapiomalizika rasmi Januari 19 mwakani.
-
Watu wanane wauawa katika shambulizi msikitini Sudan
May 27, 2016 15:27Watu wanane wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulio lililofanywa msikitini na watu waliokuwa na silaha katika mji wa al Junaynah mkoani Darfur Magharibi huko Sudan.
-
Obama kutuma askari zaidi nchini Syria eti kupambana na ugaidi
Apr 26, 2016 08:21Rais Barack Obama wa Marekani ametangaza kuwa serikali ya Washington karibuni hivi itatuma askari 250 wa nchi kavu kwenda Syria kwa kisingizio cha kupambana na makundi ya kigaidi.