-
Kwa nini vikosi vya usalama vya Ufaransa vimefukuzwa Algeria?
May 13, 2025 03:02Sambamba na kuongezeka mvutano kati ya Algeria na Ufaransa, serikali ya Algiers imechukua uamuzi wa kuwafukuza maafisa wawili wa kiintelijensia wa Ufaransa waliokuwa na pasipoti za kidiplomasia.
-
Spika: Mataifa yanayotegemea usalama kutoka nje yatafeli
Mar 02, 2025 12:26Mohammad Baqer Qalibaf, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema mustakabali wa nchi zinazotegemea mataifa mengine kwa ajili ya kudhaminiwa usalama na maendeleo ni kufeli na kugonga mwamba.
-
Rais wa Iraq: Al-Hashd al-Shaabi ni sehemu ya vikosi vya usalama nchini
Jan 26, 2025 07:01Rais wa Iraq amesema kuwa makundi yenye silaha yenye mfungamano na kundi la Hash al Shaabi yanasimamiwa na serikali kuu na ni sehemu ya askari usalama wa Iraq.
-
Mamia ya askari polisi wa Kenya watumwa Haiti licha ya ukosoaji
Jun 25, 2024 10:42Askari polisi 400 wa Kenya wameelekea nchini Haiti leo Jumanne kwa ajili ya kwenda kulinda usalama na kurejesha uthabiti katika nchi hiyo ya Caribbean.
-
Bunge la Kenya laidhinisha mpango wa nchi hiyo kutuma vikosi vya polisi Haiti
Nov 16, 2023 12:49Bunge la Kenya leo Alhamisi limeidhinisha kutumwa kwa maafisa wa polisi elfu moja katika nchi ya Haiti iliyotumbukia katika machafuko na ghasia za magenge yenye silaha.
-
Walowezi wa Kiyahudi wandelea na hujuma na uvamizi wao dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
Sep 30, 2022 01:24Kundi kubwa la walowezi wa Kiyahudi likisaidiwa na vikosi vya usalama vya utawala ghasibu wa Israel limeuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Usalama waimarishwa Kenya, wananchi wanasubiri uamuzi wa Mahakama ya Juu kuhusu kura za uchaguzi wa Septemba 9
Sep 05, 2022 07:11Usalama umeirishwa katika maeneo mbalimbali ya Kenya hususan katika mji mkuu wa nchi hiyo, Nairobi, huku Wakenya wakisubiri kwa hamu na ghamu uamuzi unaotarajiwa kutolewa leo na Mahakama ya Juu ya nchi hiyo kuhusu shauri lililowasilishwa mahakamani na mgombea urais wa chama cha Muungano wa Azimio la Umoja wa One Kenya, Raila Odinga akipinga matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika tarehe 9 mwezi uliopita.
-
Kamanda: Usalama wa Iran ni mstari mwekundu wa vikosi vya ulinzi
Jan 16, 2022 08:02Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Iran amesema usalama wa taifa hili ni mstari mwekundu wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama vya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Rais Kenyatta anawataka Wakenya kutekeleza jukumu lao katika kulinda usalama wa nchi
Sep 23, 2021 14:54Rais Uhuru Kenyatta amekumbusha Wakenya kutekeleza jukumu lao la kiraia la kuilinda nchi akisema usalama wa Kenya, uhuru wake na ustawi sio suala makhsusi kwa taasisi za usalama za serikali.
-
Rais wa Zambia awafuta kazi wakuu wa vyombo vya usalama
Aug 30, 2021 11:28Rais mpya wa Zambia, Hakainde Hichilema ameanza kazi kwa kasi kubwa; ambapo amewapiga kalamu nyekundu makamanda wakuu wa jeshi, sanjari na kuwabadilisha wakuu wa Idara ya Polisi ya nchi hiyo.