-
Iraq yavunja mtandao wa kigaidi kuelekea Arubaini ya Imam Hussein AS
Sep 15, 2019 07:11Vyombo vya usalama nchini Iraq vimefanikiwa kuvunja mtandao wa kigaidi uliokuwa unakula njama ya kutekeleza mashambulizi ya kigaidi wakati wa Arubaini ya Imam Hussein (AS).
-
Askari usalama wa Saudia wafyatuliana risasi; 5 waaga dunia na kujeruhiwa
Jul 16, 2018 04:04Askari usalam watano wa Saudi Arabia wamepoteza maisha na kujeruhiwa kufuatia kujiri mapigano baina ya askari hao katika kituo kimoja cha upekuzi katika mpaka wa Najran kusini mwa nchi hiyo.
-
Iran yawatia mbaroni makumi ya magaidi wa Daesh/ISIS
Aug 08, 2017 07:51Vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimewakamata wanachama 27 wenye mfungamano na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) waliokuwa wanapanga njama ya kutekeleza mashambulizi ya kigaidi nchini.
-
Magaidi wa Kikristo waua askari wa kulinda amani wa UN, CAR
Jul 26, 2017 07:52Kundi la kigaidi la Kikristo la Anti-Balaka limeua askari wawili wa Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati MINUSCA.
-
Askari 4 wa kulinda amani wa UN wauawa Jamhuri ya Afrika ya Kati
May 10, 2017 07:21Askari 12 wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa MINUSCA wameuawa na kujeruhiwa baada ya msafara wa magari yao kutekwa nyara na kushambuliwa na genge la waasi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Chama kikuu cha upinzani Msumbiji charefusha muda wa usitishwaji vita
Jan 03, 2017 14:21Chama kikuu cha upinzani nchini Msumbiji kimetangaza kurefusha muda wa usitishaji vita kati yake na serikali kwa muda wa miezi miwili, ili kutoa nafasi kwa mazungumzo ya amani.
-
UN yataka kutumwa askari wa kulinda amani Sudan Kusini
Dec 14, 2016 14:14Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kutumwa askari wa kulinda amani nchini Sudan Kusini, ili kuzuia nchi hiyo isitumbukie katika mauaji ya kimbari kama yale yaliyoshuhudiwa nchini Rwanda mwaka 1994.
-
Uhuru: Kenya haijutii kuwaondoa wanajeshi wake Sudan Kusini
Nov 03, 2016 16:27Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema taifa hilo halijuti kwa uamuzi wake wa kuwaondoa wanajeshi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki walioko Sudan Kusini chini ya mwavuli wa kikosi maalumu cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa (UNMISS).
-
Iran yazima njama za magaidi wakati wa Ashura
Oct 13, 2016 07:57Vyombo vya usalama nchini Iran vimetibua njama ya kutekelezwa mashambulizi ya kigaidi hapa nchini wakati wa maombolezo ya Ashura ya kukumbuka tukio chungu la kuuawa Shahidi Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
-
Uasi na machafuko katika mji mkuu wa Kongo DR, Kinshasa
Sep 24, 2016 11:45Kuendelea ghasia na machafuko kati ya waandamanaji na askari usalama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumeitia wasiwasi jamii ya kimataifa.