-
Wanazuoni wawili wa Kishia wa Saudia watiwa mbaroni Makka
Sep 01, 2016 03:54Askari usalama wa Saudi Arabia wamewatia mbaroni wanazuoni wawili wa Kishia wa nchini humo.
-
Kiir akataa azimio la kutumwa askari 4,000 zaidi Sudan Kusini
Aug 14, 2016 07:40Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amekataa azimio lililopasishwa Ijumaa iliyopita na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kutumwa askari 4,000 zaidi wa kigeni nchini humo.
-
UN yakaribisha hatua ya Juba kukubali kutumwa askari wa kikanda
Aug 08, 2016 07:49Umoja wa Mataifa umepongeza hatua ya Sudan Kusini kukubali pendekezo la kutumwa askari wa kieneo nchini humo kufuatia mapigano ya ndani kati ya askari watiifu kwa Rais Salva Kiir na wafuasi wa aliyekuwa makamu wake, Riek Machar.
-
Sudan Kusini yakubali kutumwa askari wa kieneo nchini
Aug 06, 2016 06:55Serikali ya Sudan Kusini imekubali pendekezo la jumuiya ya kieneo ya IGAD la kutumwa askari wa kulinda amani nchini humo, suala ambalo awali lilikuwa limepingwa vikali na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo.
-
Oparesheni ya vikosi vya Somalia dhidi ya al Shabab
Aug 05, 2016 04:15Askari usalama wa Somalia wamefanya oparesheni dhidi ya wanamgambo wa kundi la al Shabab na kuuwa wanamgambo kadhaa.
-
Sudan: Kuongezwa muda vikosi vya UNAMID ni mkinzano
Jul 01, 2016 07:59Kwa mara nyingine tena serikali ya Sudan imekosoa vikali hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuongeza muda wa kuhudumu vikosi vya kimataifa vya kusimamia amani huko Daruf UNAMID kwa mwaka mmoja zaidi.
-
Sudan yalalamikia hatua ya UN kuongeza muda wa UNAMID
Jun 20, 2016 07:02Sudan imemuita mkuu wa vikosi vya kimataifa vya kusimamia amani huko Daruf UNAMID, kulalamikia hatua ya kuongezewa muda wa kuhudumu vikosi hivyo vyenye askari 20,000 kutoka nchi 30 duniani.
-
Kushadidishwa ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa dhidi ya wananchi
Jun 14, 2016 02:28Mfalme wa Bahrain amepiga marufuku shughuli za kisiasa za wanazuoni nchini humo lengo likiwa ni kushadidisha ukandamizaji kwa malalamiko ya raia wa nchi hiyo.
-
Wanazuoni Bahrain wapigwa marufuku kuendesha shughuli za kisiasa
Jun 12, 2016 13:14Mfalme wa Bahrain ametoa dikrii ya kubadilishwa baadhi ya vipengee vya kisheria kuhusu vyama vya kisiasa.
-
Uganda kuondoa askari wake wa kulinda amani Somalia?
May 07, 2016 07:42Huenda Uganda ikaondoa wanajeshi wake wanaolinda amani nchini Somalia chini ya mwavuli wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika AMISOM.