-
Malengo halisi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Russia
Nov 18, 2018 03:32Uhusiano wa Marekani na Russia tangu baada ya kumalizika Vita Baridi umekuwa na pandashuka nyingi na mivutano ya mara kwa mara. Tangu mwaka 2011 Marekani imekuwa ikiiwekea vikwazo Russia kwa kutumia visingizio mbalimbali.
-
Nchi 13 zinashindana kununua mfungo wa makombora wa Russia wa S-400
Nov 16, 2018 04:13Licha ya Marekani kutishia kuiwekea vikwazo zaidi Russia, tayari mataifa 13 yameonyesha utayarifu wao kwa ajili ya manunuzi ya ngao ya makombora ya S-400 ya nchi hiyo.
-
Marekani yajitoa kimasomaso kwa kuwawekea vikwazo watu waliohusika kumuua Khashoggi
Nov 16, 2018 04:11Wizara ya Hazina ya Marekani na katika hatua yake iliyochelewa, imewawekea vikwazo raia kadhaa wa Saudi Arabia kutokana na mauaji dhidi ya Jamal Khashoggi, mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud.
-
Mhadhiri wa Chuo Kikuu India: Marekani imeshindwa kikamilifu kuitenga Iran kimataifa
Nov 11, 2018 01:07Mkuu wa Kitengo cha Utafiti wa Bara Ulaya cha Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru cha New Delhi, India amesema kuwa, hatua ya Marekani ya kuziruhusu nchi kadhaa kuendelea kununua mafuta ya Iran ni ushahidi wa kushindwa kikamilifu njama za Marekani za kuitenga Iran kimataifa.
-
Ujumbe wa Zarif; vikwazo na kufedheheka Marekani
Nov 07, 2018 04:46Akizungumza jana ikiwa ni siku moja baada ya kuanza kutekelezwa duru ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amewahutubu viongozi wa Washington kwa kusema, serikali ya Marekani ambayo imeshindwa hata kuwathibitishia wananchi wake kwamba, sera zake ni kwa munufaa ya wananchi inasubiriwa na hatima mbaya katika siku za usoni.
-
Waziri wa mafuta wa Iran: Watumiaji mafuta duniani wajiandae na siku nzito
Nov 07, 2018 04:34Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Bijan Namdar Zangeneh amesema kuwa kiwango kilichoruhusiwa na Marekani kwa ajili ya wanunuzi wa mafuta ya Iran, hakilingani na mahitajio na hivyo inatazamiwa kwamba katika miezi ijayo watumiaji wa nishaji hiyo muhimu watakabiliwa na kipindi kigumu mno.
-
"Orodha ya vikwazo vipya dhidi ya Iran vinaonesha kukanganyikiwa Marekani"
Nov 06, 2018 04:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema miongoni mwa majina yaliyoko kwenye orodha ya vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Tehran ni benki iliyofungwa miaka sita iliyopita na meli ya mafuta ya Iran iliyozama katika bahari ya China karibu mwaka mmoja uliopita.
-
Ujerumani: Uhusiano wa kibiashara na Iran unapaswa kuendelea kuwepo
Nov 06, 2018 01:19Msemaji wa serikali ya Ujerumani amesema kuwa, uhusiano wa kibiashara kati ya nchi hiyo ya bara Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unapaswa kuendelea kuwepo.
-
Bahram Qassemi: Mchakato wa kuweko njia ya mabadilishano ya kifedha ya Iran na EU unaendelea vizuri
Nov 05, 2018 10:45Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mchakato wa kuanzisha njia na kanali maaluumu ya mabadilishano ya kifedha kati ya Iran na Umoja wa Ulaya unaendelea vizuri.
-
Rais Rouhani: Tutavishinda vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran kwa umoja na msaada wa wananchi
Nov 05, 2018 10:19Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa, taifa hili litafanikiwa kuvishinda vikwazo vya Marekani dhidi yake.