-
SIPRI: Kushamiri kwa vita kumeyapatia faida ya kupindukia makampuni makuu ya uundaji silaha
Dec 01, 2025 06:31Takwimu mpya zilizotolewa kwenye ripoti ya Taasisi ya Utafiti wa Amani ya Kimataifa ya Stockholm (SIPRI) zinaoneysha kuwa, mapato yanayotokana na mauzo ya silaha na huduma za kijeshi ya makampuni 100 makubwa zaidi ya uundaji silaha duniani yalifikia rekodi ya dola bilioni 679 mwaka 2024.
-
Mamluki wa kigeni wana jukumu gani katika kuchochea vita nchini Sudan?
Nov 25, 2025 02:39Kamati ya Uchunguzi wa Haki za Binadamu imetangaza kuhusu ushirikiano uliopo kati ya mamluki wa kigeni na Vikosi vya Msaada wa Haraka vya Sudan RSF katika vita vya ndani nchini humo.
-
Ni ipi nafasi ya pande za kigeni katika mgogoro wa Sudan?
Nov 13, 2025 12:55Vita nchini Sudan vimechukua sura mpya kufuatia kuendelea uingiliaji kati wa nchi ajinabi nchini humo na kudhibitiwa mji wa Al Fasher na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF).
-
Tehran yasema 'vita halisi vya kikanda' na Israel vinaendelea, yapuuza mazungumzo na Marekani
Nov 04, 2025 11:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kwamba eneo la Magharibi mwa Asia kwa sasa limo katika na "vita halisi" na utawala wa Israel, akisisitiza kwamba hali ya eneo hilo iimekwenda mbali zaidi ya vitisho tu.
-
Madai yasiyo na msingi ya Trump ya eti ushindi wa Marekani katika vita vyote; ni kujisahaulisha matukio ya Afghanistan na Iraq?
Oct 31, 2025 03:13Rais wa Marekani, Donald Trump, amedai kwamba nchi hiyo itashinda kama itaingia vitani na nchi yoyote.
-
Je, upo uwezekano wa kutokea vita kati ya Uturuki na utawala wa Kizayuni?
Sep 20, 2025 09:49Mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya Qatar yamezidisha mivutano kati ya Uturuki na Israel na kuibua uwezekano wa kutokea makabiliano ya moja kwa moja kati ya Ankara na Tel Aviv.
-
Trump dhidi ya Modi: Ni nini matokeo ya kuanza rasmi vita vya ushuru vya Marekani dhidi ya India?
Aug 28, 2025 10:46Marekani imeanza kutekeleza ushuru wa asilimia 50 kwa bidhaa zinazoingizwa nchini humo kutoka India.
-
Nchi zinazoibukia kiuchumi zimejibu vipi vita vya ushuru vya Trump?
Aug 09, 2025 11:29Mataifa matatu yanayoinukia kiuchumi, Brazil, India na Uchina, yamejibu vikali hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kupandisha ushuru wa forodha kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa.
-
Vipi gharama za kijeshi zimeusukuma uchumi wa Israel katika ukingo wa shimo?
Aug 05, 2025 02:28Viashiria vya ukuaji wa uchumi wa utawala wa kizayuni wa Israel vinapungua, na inatarajiwa kwamba athari mbaya za vita vinavyoendelea vya Gaza na vita vya siku 12 dhidi ya Iran vitazidi kuwa na taathira hasi kwa mwenendo wa kiuchumi wa Israel katika nusu ya pili ya mwaka huu.
-
Kwa nini serikali ya Sudan inachukulia uundaji wa serikali hasimu kuwa tishio kubwa?
Jul 29, 2025 10:56Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Sudan imelaani vikali tangazo la kuundwa serikali hasimu na Vikosi vya Msaada wa Haraka vinavyoongozwa na "Mohammed Hamdan Dagalo", anayejulikana kwa jina la "Hemedti".