-
Kuzusha vita baina ya Waislamu wa Kishia na Kisuni, lengo kuu la Marekani
Mar 06, 2016 21:47Mkuu wa kitengo cha habari na malezi cha Chuo Kikuu cha al Mansoura cha nchini Misri amesema, kuzusha vita baina ya Waislamu wa Kisuni na Kishia ndilo lengo kuu la Marekani katika njama zake za kuwarafakanisha Waislamu.
-
Sheikh Ikrima Sabri: Israel imeanzisha vita angamizi dhidi ya turathi za Kiislamu, Palestina
Feb 25, 2016 11:58Mufti Mkuu wa msikiti mtukufu wa Al-Aqsa na mkuu wa Kamati Kuu ya Kiislamu ya Baitul Muqaddas ametangaza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umeanzisha vita angamizi dhidi ya turathi na athari za Kiislamu za Palestina.
-
EU yaonya kuhusu hatari ya vita vya Russia, Uturuki
Feb 24, 2016 04:12Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya ameonya kuhusu uwezekano wa kuzuka vita baina ya Russia na Uturuki.
-
Wanajeshi Wayemen waua askari 20 Wasaudia Jizan
Feb 12, 2016 12:23Askari wasiopungua 20 wa Saudi Arabia wameuawa katika katika eneo la Jizan kusini magharibi mwa ufalme huo katika mapigano na wanajeshi wa Yemen.
-
NATO yatafakari kuingia vitani Syria, Iraq
Feb 12, 2016 12:10Shirika la Kijeshi la NATO linatafakari kuingia katika vita vinavyoendelea katika nchi za Syria na Iraq.